CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - CHADEMA Mkoa wa Singida kinaungana na wana-Arusha katika kukumbuka mauaji ya kinyama kwa vijana wetu yalitekelezwa na jeshi la polisi tarehe 05/01/2013 waliokuwa wakipinga ukiukwaji wa sheria na kanuni zilizomuingiza meya wa jiji hilo Gaundence Lymo.
Tuendelee kuwakumbuka na naamini walipolala wanazidi kuiombea Chadema ili izidi kupigania haki za watanzania wenzao bila kuchoka. Kwa nguvu ya pamoja tutaishinda dhuluma, udikteta, unyonyaji, ukiukwaji wa haki nk.
Pamoja na salamu za Chadema,
Imetolewa na:
MUTTA, Anselimi
katibu mwenezi Chadema - Singida.