CHADEMA Mkoa wa Mara kufanya mkutano Mkubwa

Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
0
CHADEMA mkoa wa Mara siku ya tarh 23 itafanya mkutano mkubwa katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo.

Kabla ya mkutano huo siku ya jumapili tarh 22 kutakuwa na harambee kubwa ya kuchangia chama mkoa itakacho fanyika katika ukumbi wa Palm Beach, harambee hiyo itaongozwa na viongozi wakuu wa chama.

More updates to come......
 
jidodo

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
1,176
0
Kabla kufanyika mkutano ni vizuri wakatafakari Chacha Wangwe na Mwigamba nini kimewakuta?
 
controler

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
1,560
1,500
Kabla kufanyika mkutano ni vizuri wakatafakari Chacha Wangwe na Mwigamba nini kimewakuta?

Mbona jibu ni rahisi.

Kimewakuta kilichomkuta Moringe sokoine , Horace kolimba.

Una swali lingine Uliza.
 
jidodo

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
1,176
0
Mbona jibu ni rahisi.

Kimewakuta kilichomkuta Moringe sokoine , Horace kolimba.

Una swali lingine Uliza.
Kwa nini chadema wanoshughulikiwa na kushikishwa adabu ni watu ambao si wachagga na hususan wa kanda ya ziwa vile:
- Amani Kabouru,
- Chacha Wangwe,
- Zitto Kabwe,
- Samson Mwigamba,
- Dr. Kitila Mkumbo,
- John Shibuda,
- Mkosamali,
- Shitalamba
- Kafulila,
- Machege nk.
- Mtela Mwampamba
- Juliana Shonza
Kuna nini hapo? Naomba jibu ili niulize swali lingine naona una majibu. 

victor shio

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
651
0
Mnafiki utamjuatu mbona ujataja madiwani walio timliwa Arusha au wawo nikabila la mama yako.
 
spartarcus

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
272
0
viwanja vya shule ya mkendo hapo nahisi patapungua,vipi uwanja wa karume hapo juu usitumike?
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
Kwa nini chadema wanoshughulikiwa na kushikishwa adabu ni watu ambao si wachagga na hususan wa kanda ya ziwa vile:
- Amani Kabouru,
- Chacha Wangwe,
- Zitto Kabwe,
- Samson Mwigamba,
- Dr. Kitila Mkumbo,
- John Shibuda,
- Mkosamali,
- Shitalamba
- Kafulila,
- Machege nk.
- Mtela Mwampamba
- Juliana Shonza
Kuna nini hapo? Naomba jibu ili niulize swali lingine naona una majibu.
Maliza kwanza masomo yako ya chekechea eeeggh!!!!
sawa mwanangu! kamwambie dada akuvishe pempas ukalale eeehg!
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
Big up chama kubwa, chama pendwa, chama mkombozi, chama makini, chama cha ukweeeeeeeli.
we jidodo kamuokoe pinda bungeni, wenzie wanampumulia shingoni.
 
Last edited by a moderator:

m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
CHADEMA mkoa wa Mara siku ya tarh 23 itafanya mkutano mkubwa katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo.

Kabla ya mkutano huo siku ya jumapili tarh 22 kutakuwa na harambee kubwa ya kuchangia chama mkoa itakacho fanyika katika ukumbi wa Palm Beach, harambee hiyo itaongozwa na viongozi wakuu wa chama.

More updates to come......

Big up sana makamanda!
 
m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
Na mimi ntakuwepo huko kwa ajiri ya kura sikukuu mura! tutakuwa pamoja hapo mkendo makamanda.mwaka huu lazima mizigo yote tuiunguze muraa.
 
don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,386
2,000
Kwa nini chadema wanoshughulikiwa na kushikishwa adabu ni watu ambao si wachagga na hususan wa kanda ya ziwa vile:
- Amani Kabouru,
- Chacha Wangwe,
- Zitto Kabwe,
- Samson Mwigamba,
- Dr. Kitila Mkumbo,
- John Shibuda,
- Mkosamali,
- Shitalamba
- Kafulila,
- Machege nk.
- Mtela Mwampamba
- Juliana Shonza
Kuna nini hapo? Naomba jibu ili niulize swali lingine naona una majibu.hivi Mkosamali alishawahi kuwa CDM?. Pia wale madiwani wa Arusha waliofukuzwa wote sio wachaga?.
 
m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
Chacha wangwe CDM tulimzika kwa heshima zote, hivi Mwigamba ndio nani?

Mwigamba ni mpuuz mmoja hivi aliyeshindwa hata kuwasaidia wazazi wake,wapo MAGU mtaa wa IBIDANJA. Kawadhalirisha sana watu wa magu ukizingatia hata 2015 walimpitisha lakni akawasaliti akahongwa na dr limbu akajitoa.usaliti kauanza zamani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom