MIMI NI MTU HURU AMBAYE AKILI YANGU HAIJAGHOSHIWA NA ITIKADI YA CHAMA CHOCHOTE. NI MTANZANIA MWENYE MAPENZI NA TANZANIA.
CHADEMA wakati mnahangaika namna gani ya kulizima jambo la video ya Lwakatare wao CCM wanapanga mikakati ya kuwaingiza watu wao katika mabaraza ya wawakilishi wa mchakato wa katiba mpya kwenda kupeleka hoja za CCM, nyie CHADEMA mnahangaika na Mwigulu Nchemba na Lwakatare.
Kama hamtaki kukubali ulizeni wagombea waliogombea nafasi hizo ambao hawakuwa CCM namna walivyoshindwa si kwa hoja bali vioja, nyie mmepewa TOY mchezee wao wameshasonga mbele wakiendelea na mikakati yao mkija kushtuka mmmeachwa nyuma sana. Hii ndiyo siasa.
CHADEMA mna kazi kubwa ya kukifanya chama kisimame na kiwe na miiko na demokrasia pasipo kuifinya demokrasia. Kwa hili mnapaswa kuamini kuwa katika kukijenga chama si watu waote wanatakiwa wadumishe fikra za mwenyekiti au watu flani.
Chukuen changamoto na hoja za wanachadema wanaopinga mambo flani kukijenga chama si kuwaona kama wapinzani ili mradi wanapinga katika vikao vya chama. Nyie kila atakayepinga jambo flani mnamwona ni CCM mnakibomoa chama chenu maana hawa watu wanatoka na siri nzito za kukiangamiza chama.
CCM hawana muda sana wa kuzungumzia sauala la Lwakatare,CHADEMA ndo mmekuwa mkihangaika sana hasa kwenye gazeti lenu la TANZANIA DAIMA kila siku.Hii inawapotezea muda subiri mahakaman iamue na msitoe toe matamko yasiyo ya kisayansi sana sana thibitishen kuwa video ile ni feki.
Hebu tuoneshen utaalamu huo kwa kuajaribu kutengeneza video moja ya mtu mmoja wa CCM mkaipandikizia maneno ili watanzania sasa wajue mbivu na mbichi.
HII NDIYO SIASA, ADUI YENU SI CCM ILA NI MFUMO MBOVU AMBAO NANYI TARATIBU MNAUKUMBATIA.