Walianza kufungia magazeti ili usije ukasoma habiri kinzani hata hiyo TV ingelifungiwa tu, rudisha nyuma kumbukumbu zako kilichotokea kwenye bunge liveHaingii akili ninyi kama chama kikuu cha upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara!
Nashindwa kuelewa idara yenu ya uenezi inafanya kazi gani? Kama imekufa pia mtuambie tujue moja!...
Labda wanalipia, Je wewe unalipia na bado unakatazwa?Mbona nyie ccm mnarusha matangazo kupitia ITV, azam ,star TV je mmenunua hizo media?
Lakini Muhimu kitengo cha Uenezi kiwe na Plan B inasikitisha sana hata CHADEMA media haichukui matukio live.
huyu mbona angezitungia sheria ili zifungwe fasta kama alivyofanya kwa magazetiHaingii akili ninyi kama chama kikuu cha upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara!
Nashindwa kuelewa idara yenu ya uenezi inafanya kazi gani? Kama imekufa pia mtuambie tujue moja!...
Hawapokei malipo ya chademaLabda wanalipia, Je wewe unalipia na bado unakatazwa?
Na Wao watalipia Panapo majaliwa 2030 mh Lisu akiwa RaisiHawapokei malipo ya chadema
Duuh kumbe na wewe ulitafunwa comrade?Kazi yetu Ni kutafuna ruzuku na wabunge wa viti maalumu hayo mengine sio kipaumbele chetu
Comrade umesema hoa wanatafuna ruzuku na viti maalum,je wewe kama viti maalum nawe ulitafunwa?Naona hata kusoma kiswahili huwezi majanga haya
Haingii akili ninyi kama Chama Kikuu cha Upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara!
Nashindwa kuelewa idara yenu ya uenezi inafanya kazi gani? Kama imekufa pia mtuambie tujue moja!
Leo mtu akitaka kujua Tundu Lissu aliongea nini baada ya kuchukua fomu ya kuomba uteuzi au akiwa kule kijijini kwao Singinda ni ngumu mno kupata hizo speech.
Karibia media zote zimewasusa na mnafanyiwa hujuma za kila aina kama kukatiwa sauti na kufutiwa speech zenu nyie mpo mpo tu. Mmejipanga kuchukua nchi kweli nyie?
CHADEMA online media inafanya kazi gani? Nilitegemea ingekuwa msitari wa mbele kufanya live streaming ya mikutano yenu lakini wapi?
Mnajua ni watanzania wangapi wanawafatilia kupitia mitandao ya kijamiii?
Mjitafakari!