mission without vision.... replacing CCM is not an easy task... currently i dont see any party able to do that..... angalia safu kwanza then uje uniambie hapa kama siko sahihi. mimi nafikiri kwa situation ya sasa upinzani ndani ya ccm yenyewe na activist wachache waliopo wanaweza kuleta mabadiliko ya kweli lakini si maadamano yasio na tija... kuandamana huwa ni hatua ya pili katika kudai haki .... hatua baada ya hapo huwa ni kuipindua serekali iliyoko madarakani.. lakini kufikia hatua hiyo lazima malengo ya chama yawe wazi kabisa kwa wananchi hidden agendas hazitakiwi hapo maana hatua hiyo ni ya kufa na kupona... kwa tanzania na kwa vyama vyetu hii maadamano ni ya ujiko tu wa kisiasa hayana malengo chanya