CHADEMA Mchawi Wenu Huyu Hapa!

CHADEMA Mchawi Wenu Huyu Hapa!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,300
Reaction score
14,967
CHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!
 
Hapa umesema kweli,nakuunga mkono,ili wapinzani washinde,kuwe na tume huru basi,maana tume yote ni ccm halafu eti mshinde!wapi?mimi huwa nasema hata hao wapinzani wachache waliomo bungeni waliachiwa tu,ili tanzania ionekane nayo ina demokrasia,wakiamua nawambia wapinzani hawatapata hata mbunge mmoja.
 
mkuu umenena ila tatizo lao lingine wanajiona wao ndio wanajua sana, yaani watu wengine wote ni wajinga, na hii pia ndio inawaangamiza kwa dharau zao
 
CHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!
Kuwa na subra Mkuu vitafikiwa hivyo vipengele ktk rasimu, moto wake utauona.Kitaeleweka tuu
 
Wewe unasema CDM wana IQ ndogo? Kama kweli hivyo usingeandika hiki. Kumbe hata haujui nini kinaendelea bungeni looooh!
 
Ina maana kama hayo masuala hayajafikiwa kujadili waanze kusema yarekebishwe,Wakati Bunge hili ni Maalum kwa ajili ya Katiba.
Watakwenda kifungu kwa kifungu,Hatua kwa hatua.Hivyo huna shule ya kusema Chadema wana IQ ndogo.

Kama wana iq ndogo kule Bungeni walifikaje?
Ficha Upumbavu wako.
 
tehe tehe naona muda wa kwenda kupokea buku saba pale lumumba umekaribia unamalizia kibarua chako
 
Fafanua wanajiona wanajua au ni kweli wanajua? Acha kutumiwa na wachumia matumbo. Jitambue sasa na uchukue hatua ya mabadiliko
 
CHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!

Sasa kwaandiko kama hili mwenye IQ ndogo ni wewe au hao WANACHADEMA?

Kama hata hauijui kuwa katiba ina vipengere vingi na vyote vinatakiwa kujadiliwa unajielewa kweli?

Au ulitarajia mambo yote yajadiliwe leo? Au waruke vipengere vingine sio?
Kabla haujakosoa watu unapaswa kuliangalia marambili hilo wazo lako na sio kukutupuka kupost tu!
 
Tangu asubuhi alikuwa hajatupia post na masharti ya lumumba hupati buku 7 bila kuonyesha post hapa jf, umasikini na njaa ni kitu kibaya.yeye kaiona cdm tu wakati vyama vya upinzani vipo tele.
 
Ina maana kama hayo masuala hayajafikiwa kujadili waanze kusema yarekebishwe,Wakati Bunge hili ni Maalum kwa ajili ya Katiba.
Watakwenda kifungu kwa kifungu,Hatua kwa hatua.Hivyo huna shule ya kusema Chadema wana IQ ndogo.

Kama wana iq ndogo kule Bungeni walifikaje?
Ficha Upumbavu wako.

Wewe vipi kwani kufika Bungeni ndio kigezo cha kuwa una IQ kubwa? Halafu isitoshe nimeongelea Wapiga Kura wa CHADEMA kuwa ndio wana IQ ndogo! Mimi kuna dogo nilisoma naye na alikuwa mchemkaji darasani lkn leo hii ni Mbunge jina la Chama nalihifadhi!
 
Tangu asubuhi alikuwa hajatupia post na masharti ya lumumba hupati buku 7 bila kuonyesha post hapa jf, umasikini na njaa ni kitu kibaya.yeye kaiona cdm tu wakati vyama vya upinzani vipo tele.

Unadhihirisha nilichokiandika na ninachokiamini ukisoma vizuri Sijasema CHADEMA tu, bali nimesema CHADEMA na Wapinzani!
 
Sasa kwaandiko kama hili mwenye IQ ndogo ni wewe au hao WANACHADEMA?

Kama hata hauijui kuwa katiba ina vipengere vingi na vyote vinatakiwa kujadiliwa unajielewa kweli?

Au ulitarajia mambo yote yajadiliwe leo? Au waruke vipengere vingine sio?
Kabla haujakosoa watu unapaswa kuliangalia marambili hilo wazo lako na sio kukutupuka kupost tu!

Kwa hiyo karibu Mwezi mzima uliopita walikuwa wanajadili Kipengere cha kuhusu Muungano na Jina la Tanganyika? Au hotuba nzima ya Raisi ilihusu tu Muungano na jina laTanganyika?
 
CHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!

Wewe kijakazi husiwe unakurupuka kwenye post zako na kujifanya mshauri wakati huna ulijualo, hapa umeweka kitu gani ili watu wasome?
 
Back
Top Bottom