Nafikiri wewe ndiye utakuwa unanyea debe ndio maana ulichokiandika hakielewiki na utakuwa umekiandika ukiwa na wasiwasi wa kufumaniwa na polisi.Gundu linazidi kuwaandama Chadema!! Viongozi madiwani wao na viongozi wa serikali za mitaa wasombwa ndaniii polisi vwawa na mpaka sasa wananyea debe
ukiona giza totoro ujue karibu kunakucha , hii nchi itakombolewa hata kwa jasho .Gundu linazidi kuwaandama Chadema!! Viongozi madiwani wao na viongozi wa serikali za mitaa wasombwa ndaniii polisi vwawa na mpaka sasa wananyea debe
how did you know that ? demu muongo muongo kuachika ni rahisi sana .Hii ni ile ishu walivyotwangana siku ile kwenye kikao chao cha nadani cha kutafuta wagombea ndani ya chama.
Gundu linazidi kuwaandama Chadema!! Viongozi madiwani wao na viongozi wa serikali za mitaa wasombwa ndaniii polisi vwawa na mpaka sasa wananyea debe
Gundu linazidi kuwaandama Chadema!! Viongozi madiwani wao na viongozi wa serikali za mitaa wasombwa ndaniii polisi vwawa na mpaka sasa wananyea debe
umeiandika kiushabiki mpaka umepoteza mantiki, sijui ni :bange: ya wapi vilee?
Kwa mjibu wa taarifa nilizo zipata kutoka kwa jamaa yangu wa huko Mbozi ni kwamba waliokamatwa ni baadhi ya viongozi waliohusika kupanga mashambulizi na kuwashambulia baadhi ya wanachama wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wa CHADEMA katika kikao cha chama kilichofanyika katika ukumbi wa RC Vwawa.
Katika mahojiano watuhumiwa wamemtaja mtangaza nia mmoja wapo wa ubunge,Bwana Msyete kuwa ndiye aliyewakodi vijana kwa kuwalipa fedha vijana wa CHADEMA na mamuluki wa kutoka CCM,ili kumchafulia mtangaza nia mwenzake Bwana Mkisi ambaye ana kubalika ndani ya chama na kwa wapiga kura wa Mbozi kumzidi Bwana Msyete.
Ukamataji wenyewe umefanywa na vijana wa kikosi cha ulinzi wa chama cha CHADEMA ambao wamefanya kazi ya kumkamata mtuhumiwa mmoja baada ya mwingine na kuwakabidhi polisi kwa hatua zaidi za kisheria.