Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Sababu ulizotoa zinafaa zitolewe na mtu aliyetoroka Milembe, dola ipi iliyotumiwa na CCM ? je Mbowe, Mnyika, Lema, Sugu n.k. Je waliposhinda dola lilikuwa wapi ? Mkishindwa inakuwa Dola, mkishinda Uchaguzi ni huru na haki. Huu ni Upumbavu na UrofaChama kilicho chokwa ni kile kinachotumia dola kubaki madarakani, huwezi kusema tushindane resi za magari. Halafu wewe gari lako kuna petroli na upepo wakati unao shindana nao matairi yao umeyatoa upepo na hayana petroli. Mshindani wa kweli anapendelea iwe fair play
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Makusudically ungeuliza bathroom iko wapi pa kwenda kuachia huu uchafu wako
Pumbatu mtoa maada
Wajinga kama mleta mada daima wataendelea kuwepo kwenye tawala zilizofitinika hapa duniani
Siku zote huwa tunakushauri humu jf kuwa akilizako usiziache nyuma unapokimbilia kuandika.Namshukuru Mungu hakunipa akili kama hizi
Nyani Ngabu Ndio hawa unao maanisha??Naona mnajitekenya na kucheka
@Nyani ngabu Ndio hawa unao maanisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF tungekua karibu ukute tushapasuanaaOf course!
Heheheheeee.
[emoji90] nadhani ingefaa utoe maoni yako sio kuzungumzia ya nyani.ukiwa [emoji90] always utakuwa[emoji90] huwezi kuwa[emoji560]Nyani Ngabu Ndio hawa unao maanisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji90] nadhani ingefaa utoe maoni yako sio kuzungumzia ya nyani.ukiwa [emoji90] always utakuwa[emoji90] huwezi kuwa[emoji560]
JF tungekua karibu ukute tushapasuanaa
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taratibu basi mkuu!!!
Hiyo party wengi watakao kuja ni wambea kujua Ngabu ni nanuWengine tutaenda kupasuana kwenye ile party ya wana Chit Chat.
Shit is about to get real...