Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,242
Kweli wewe ni Mwanasheria?Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Hongera mkuu, jibu lako limeshiba,sidhani kama kuna mwenye swali tena!Kwa sababu Raila Odinga siyo Mpinzani.ANgekuwa mpinzani angekuwa wa kwanza kumuonya rafiki yake namna anavyowafanyia wapinzani wake kwa maana hata kule kwao ni mpinzani.
Sasa hakuonyesha any sympathy towards wapinzani "Chadema" why should Chadema support Raila Odinga?Nategemea utawaelewa Chadema
Nimewasaliti vipi wakati si mwanachama wao?Subiri waje, jina la [HASHTAG]#Msaliti[/HASHTAG] linahusika
Ndiyo Mkuu. Kuna tatizo?
Yaani weww unataka vyama vya upinzani vijenge urafiki na vyama pinzani tu!!!Sasa huu si utakuwa urafiki wa muda mfupi tu!Mfano chama ambacho ni rafiki yako wew mpinzani,akishinda uchaguzi basi anageuka adui na yule mtawala aliyeangushwa ndio muanze urafiki,!!!;Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Mkuu, kila mpinzani analenga kuwa mtawala. Mnapaswa kupambana mtawale. Si kuwaunga mkono watawala.Huu ujinga umekaririshwa wapi?Huoni hata aibu kuandika upuuzi wa kiwango hiki?Yaani weww unataka vyama vya upinzani vijenge urafiki na vyama pinzani tu!!!Sasa huu si utakuwa urafiki wa muda mfupi tu!Mfano chama ambacho ni rafiki yako wew mpinzani,akishinda uchaguzi basi anageuka adui na yule mtawala aliyeangushwa ndio muanze urafiki,nonsense!!!;
1.DemokrasiaUkiwauliza wanaunga mkono kwa sera gani hawatakwambia
Kinachoshangaza ni kuunga mkono chama tawala ambacho kinataka kuendelea kuongoza. Si dhambi kumuunga mkono mpinzani hata kama atakuwa mtawala. Nana alikuwa mpinzani, hakukuwa na tatizo na hata sasa hakuna tatizo urafiki ukiendelea. Si kuwaunga mkono Jubilee Mkuu.Mazindu Msambule ,
..hoja ya mtoa mada ina matatizo.
..yeye anataka kutuaminisha kwamba CDM kwasababu hawapo madarakani hawapaswi kuunga mkono vyama au wagombea walioko madarakani.
..Ni kweli walimuunga mkono Nana Ado ambaye alikuwa "mpinzani" Ghana. Lakini sasa Nana Ado ni Raisi. Je CDM sasa wanatakiwa waachane naye waunge mkono wapinzani wake?
..Mtoa mada nadhani ameshindwa kuzingatia ukweli kwamba kwenye nchi za wenzetu vyama vya siasa hupokezana madaraka.
Mkuu, kila mpinzani analenga kuwa mtawala. Mnapaswa kupambana mtawale. Si kuwaunga mkono watawala.
Lumumba hamtusumbuihaha kweli chadema imefulia kila mtu anaikana.
Mkuu, kila mpinzani analenga kuwa mtawala. Mnapaswa kupambana mtawale. Si kuwaunga mkono watawala.
Mkuu, si kila mwanaJF ni mwanachama wa chama cha siasa. Acha kukariri.haha kweli chadema imefulia kila mtu anaikana.