wana JF. Leo mkoani MBEYA kumefanyika kikao cha Baraza Mkao na Wajumbe wa WILAYA ZOTE kuhudhuria..kikao kimeazimia 1st KUMTIMUA RASMI ndg EDO MAKATA MWAMALALA uanachama.2nd kumsimamisha m/kiti BAVICHA mkoa ndg KASAMBALA uongozi 3rd kamati ya uchunguzu ili kuwabaini wale wote wanaotuhumiwa kukichafua CHAMA na viongozi nao watimuliwe ktk CHAMA. IKUMBUKWE kuwa EDO ndiye aliyekwenda kwny MEDIA kumtaka Dr SLAA ajiuzuru kwa kuwa na kadi mbili na ni mwanakundi la MASALIA na Kasambala naye anatuhumiwa kuwa mfuasi wa hilo kundi.
Akina YUDA wote hatuwataki! Itasaidia nini kujaza minafiki kwenye chama? Cdm sio ccm bana!Watafukuzwa wangapi?
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
Uliharibu hata wewe na kwann uachwe, bora wachache wenye nia na lengo mojaWapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
hakuna msaliti atakayeachwa!