CHADEMA - Mbeya: Mwendo mdundo!

CHADEMA - Mbeya: Mwendo mdundo!

leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
  • MWANSEKWA- CHADEMA
  • SINDE - CHADEM
  • MWANSANGA - CHADEMA
  • KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "

Hapa Mbeya leo ni shangwe ile mbayaaaaaaaa!
 
Hii bluemonday iko pouwa sana ebu Nepi ije basi hapa ituambie kulikoni?
 
kuna mdau mmoja aliniambia kwamba hata manispaa ya shinyanga mwendo mdundo. Tafadhali wenye data wazimwage hapa pia.

jidanganyeni CHADEMA NI CHAMA CHA UKOMBOZI KUMBE MNALIWA AKILI, ccm=chadema
 
Back
Top Bottom