View attachment 284650
Mkiti wa CHADEMA Wilaya Mbarali, Peter Mwashiti, amemuagiza mwandishi wa habari Star TV kukanusha habari alizo andika kua CHADEMA imeungana na ACT Mbarali. Amempa siku saba kukanusha habari hizo kupitia Star TV ile ile, vinginevyo atamchukulia hatua
Mh. Mwashiti ameongea hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Kongoro Mswiswi akimnadi mgombea ubunge, Liberatus Mwang'ombe, kupitia CHADEMA/UKAWA.