CHADEMA masuala mengine aibu tupu

Yes hapo kwenye makao makuu ni kweli inahitajika ofisi yenye hadhi ya CHADEMA. However, hatujapangisha Yale Majengo mawili yalishanunuliwa toka 2012 na kuna Uzi humu JF wa Tumaini Makene aki-clarify hilo suala.
 

Kuna aibu zaidi ya kupiga sarakasi bungeni matako juu au diwani wa CCM kukmatwa kwa kimada baada ya kupotea kwa miezi miwili.
 
Kwa hiyo hicho ndio kipimo chako na dhamana wanatoa wananchi Kwa Chama Chao wanachokipenda Chadema.Pia ninachojua mawasiliano ni mawasiliano na mawasiliano ambayo mtu anayaamini atayatumia bila mashaka.
Huyo Getrude Mollel atakuwa ana file lake kwenye ile hospitali maarufu kule Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…