CHADEMA masuala mengine aibu tupu

Umesema kweli, dunia ya sasa watu wamepunguza kusafiri badala yake wanatumia video conference, ni aibu kusafiri.
 
Utambiwa shinyanga hiyo
 
MATAGA mnahangaika mno, Samia kawavuruga pakubwa. Mnapuyanga tu.
 
Nyerere ALICHUKUA serikali kwa Wakoloni akiwa kwenye vijumba ambavyo leo vimegeuka makumbusho, kikubwa chama kiwe ndani ya mioyo ya watu, mengine ni mbwembwe tu.
 
Povu jingii petty issues!! Bora ungeongelea walau ule msamba wa leo bungeni ningekuona wa maana.
 
Hiyo Gmail inapunguza nini juu mawasiliano? Makahaba wa twitter mna matatizo sana
Ndiyo maana Halima kasema nyie ni chama cha wahuni. Mwenyekiti wenu kawaambia msitukane ovyo, wewe unamtukana mtu kwa kutoa ushauri mzuri wa kukijenga chama chenu. Ujinga gani huu? Watu wenye uelewa wamemwelewa na kusema litafanyiwa kazi, nyumbu kama wewe unakuja hapa kutukana.
Malupwenyu.
 
Naona wanayo tovuti tayari sijui kwa nini wasiwe na email accounts kwenye hiyo domain name ya tovuti yao.

Watafanyia kazi haraka ni suala la dakika 30 tu.

Cha ajabu hata hiyo tovuti iko suspended! Tumesema hili jambo lakini hatuoni mabadiliko. Kutumia email ya gmail ni aibu ya wazi. Kulipia domain na kuhost website haifiki 1m per year. Kwenye hiyo domain wanaweza kuwa na email address hata 100+, ambazo kila wilaya, mkoa, makao makuu na vitengo vyake watakuwa na email account. Hizi social media accounts ni za bure, ndio maana wanakuwa active zaidi upande huu. Upande wa kitengo cha mawasiliano CDM kuna uzembe wa hatari. Hili limulikwe.
 

Huyo ni gamba mwenzio, ila yeye yuko sukuma gang. Hamjuani?
 
Kutumia gmail ni uzembe ila kutokujenga ofisi za makao makuu ni uzembe wa kiwango cha madaraja ya Mfugale. Huko mikoani wanachama wamechangisha wamejenga ofisi nzuri tu ila Makao makuu wanapanga nyumba. Ofisi za chama haina budget kubwa kama uwanja wa mpira.
 
Acha ujinga ww watu tunataka Katiba mpya vitu vidogo hivyo havitusumbui
 
Chadema ni mpango wa Mungu au siyo Erythrocyte ? Vile vile gmail ni mpango wa shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…