Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.
Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.
Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.
CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.
Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "