BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nimekuwa nafuatilia siasa za vyama vyetu vikuu CCM na CHADEMA wote wanavijana vyuo vikuu ambao ni wafuasi wao.sina tatizo juu ya hilo ni haki ya vijana kujiunga na vyama/siasa kama ni utashi wa mtu.
Tatizo lipo kwenye mahafali,wanaitwa viongozi waandamizi ili iweje? vyama vyote viwili vina taratibu kama hizo.Je, zina tija?
Hao viongozi waandamizi wanamwaga sera za chama kwa wahitimu? Nani ananufaika na makusanyiko kama hayo? Serikali inapata shida gani kama watu wanafanya mahafali ndani ya hotel/ukumbi?
Siasa za Bongo pasua kichwa, mahafali yanafanyika chuoni na baadae yanahamishiwa mtaani ukumbini ni sherehe ya vyakula na vinywaji?
Nielimishe mwenye ujuzi na siasa hizi za kizazi kipya.