Huyu nafikiri halipwi book 7 kama wengine, nafikiri yeye dau lake ni 15, 000 kwa siku. Kwa kweli anajitahidi ila bahati mbaya anakuwa kama anayepigia mbuzi gitaa akidhani itacheza, watu wameisha amua wanataka mabadiliko. Hata Mbowe akinunuliwa na kukaa kando, kiu ya mabadiliko iko pale pale, magamba lazima mfungishwe virago mwaka huu.
Tiba