Reform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla.
Moja ya sababu ya reform ni kutokuwepo kwa usawa wa mfumo na utendekaji kazi,reform mara nyingi inahisisha Changes katika itikadi na imani.
Tunaambieni wadau mnahitaji reform au changes?
Tusisahau reform zinaprocess zake mnapoamka nakuhitaji tu,ghafla itakuwa ni uongo lakini tuzingatie hapa reform ni itikadi.
Walamsiki