Chadema lazima mtunze kumbukumbu za waliosika na kesi ya Mbowe Kama walivyofanya ANC

Palikuwepo na reconcilliatuon baada ya ANC kushika hatamu Mandela akiwa kiongozi wake, sasa nyie mnaotaka kulipa visasi siku mwenyekiti wa CCM akiruhusu uwepo wa Katiba Mpya, hiyo ndoto itachukua muda sana kutimia.

Sasa sijui ni bora kuendelea kuota, au kutafuta njia nyingine itakayorahisisha upatikanaji wa Katiba Mpya huku kila mmoja akiwa na hamu ya uwepo wake, badala ya wengine walioshika makali sasa kuogopa kuumizwa siku itakapopatikana.
 
Yaani uumizwe, uteswe, uminywe pumbu ufilisiwe, ufungwe, uchukuliwe mke wako afu husilipe kisasi never,,, retaliation lazima iyo ni lazima
 

This is a classic example of terroristic behavior!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…