Chadema kwisha habari yake!!

Chadema kwisha habari yake!!

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,151
Reaction score
287
Kwa matokeo haya ya uchaguzi huu wa madiwani ni ishara tosha kwamba wananchi wameamua kuzungumzia kwenye masanduku ya kura, na ni ishara tosha kwamba bado wananchi wana imani na chama kilichopo madarakani, na hata kama mapungufu yapo ni ya kurkebishika ni hayo tu!nakaribisha kupingwa!!!!!
 
Huu ni uzandiki usiokuwa na maana, hebu fanya hesabu za kitoto kabisa kwamba, huko ambanko CHADEMA wameshindwa je wameshindwa kwa tofauti ya kura ngapi na historical background yake na mahali hapo, pili njoo upande wa pili kule ambako Chadema wameshinda halafu fanya the same. Kama utatumia akili utakuta kuwa kule ambako Chadema wameshindwa basi wameshindwa kwa tofauti ya kura chache sana na kwamba kuna baadhi ya maeneo kama Magomeni-Bagamoyo ambako Chadema wala haikuwa famous au hata kuwa na viongozi kwa kipindi kirefu.

therefore, utagundua kwa kifupi sana kuwa hawa jamaa they are coming!!! Ningekuwa na muda ningetengeneza graph ili nikuelekeze kwa picha pengine kwa maandishi mwaweza msielewe
 
Kwa matokeo haya ya uchaguzi huu wa madiwani ni ishara tosha kwamba wananchi wameamua kuzungumzia kwenye masanduku ya kura, na ni ishara tosha kwamba bado wananchi wana imani na chama kilichopo madarakani, na hata kama mapungufu yapo ni ya kurkebishika ni hayo tu!nakaribisha kupingwa!!!!!

You're real great thinker..!! Hongera mkuu
 
Eti wanajitetea wameshinda kwa Kura ngapi na wao wanagapi ha!ha!kushindwa ni kushindwa kwani wakati mnapeperusha Chopa mlikuwa mnajua mtashinda kumbe watu walikuwa wanaenda kutazama Chopa tu ha!ha!
 
Eti wanajitetea wameshinda
kwa Kura ngapi na wao wanagapi ha!ha!kushindwa ni kushindwa kwani wakati
mnapeperusha Chopa mlikuwa mnajua mtashinda kumbe watu walikuwa
wanaenda kutazama Chopa tu ha!ha!

nimeipenda hii, uchaguzi siyo watu kujaa kwenye mikutano ya kisiasa,uchaguzi ni kura,uchaguzi ni ushindi
 
Ila kwa ushindi wa Njombe, hapo bwana cdm wameshinda, binafsi ckutegemea, hongereni cdm kwa ushindi wa Njombe.

Ccm msijifariji kama Makamba, hawa cdm wanakuja juu, inabidi kuendelea kuwakazia mwanzo mwisho.
 
MI naona ccm ndo wameshindwa coz wamepoteza kata moja na wanapoteza kila uchaguzi ukirudiwa.....so cdm is moving upwards
 
Rekebisheni kwanza daftari la wapiga kura, la sivyo endeleeni na uzandiki wenu na proganda zisizo maana. Kule CDM walikoshinda ni kule ambako wanaccm wengi wameasi. Kule mlikoshinda kwa kura chache ni taa nyekundu kwa ccm. Mngekuwa binadamu wenye dhamira safi, mngeona haya kuja kuleta majigambo ya ushindi wa hila hapa. Rekebisheni kwanza daftari la wapiga kura muone chuki ya watanzania itakavyowatemea mate nyusoni.
 
Back
Top Bottom