Kojo Dowido
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 354
- 111
Ni pale wanapo lalama kuhusu kura au alama alizopata mgombea wao wa urais kutokana na utafiti wa twaweza.
Kulikuwa na kura ya maoni iliendeshwa hapa jamvini kati ya Dr Slaa na Lowassa (wakati huo akiwa CCM). matokeo wote tunajua. Moderators wanaweza kutuwekea kama reference. Jambo la kustajabisha pamoja na maoni yale ya wanaJF wao waliopt kuachana na Slaa wakamchukua Lowassa.
Sasa Twaweza wanapokuja na takwimu hizi mnacholalamikia ni nini hasa? mliamua kwa kupitia mwenyekiti wenu kubadili gia angani na uliza, je huu ni ungwana, kulalama wakati Lowasa ni chaguo lenu?
Mtu ambaye kwenye kipengele cha uadilifu kule CCM alikuwa wa 44 kati ya wagombea urais 44. Nyie mkaona muwaletee watanzania kuwa wamchague awe rais wao na kwa maana hii CHADEMA katika kigezo cha uadilifu Lowassa ni nambari moja. Mmeyataka wenyewe hamna wa kumlaumu.