CHADEMA: Kwa hili Rais Samia Ametuweza!!

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
382
Reaction score
506
Katika siku za hivi karibuni, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uthabiti wa kipekee katika kukabiliana na changamoto zinazotokana na matamshi ya wapinzani wanaotumia kivuli cha Falsafa ya 4Rs kueneza ajenda zao potofu. Wapinzani hao wanataka kuchochea wananchi kupoteza imani na vyombo vya dola, hususan jeshi la polisi, kwa kutumia matukio ya watu kutekwa na kuuawa kama njia ya kuanzisha vurugu na kugonganisha serikali na wananchi.Katika hotuba yake, Rais Samia ameweka wazi kwamba hatokubali yeyote kuvuruga amani ya nchi kwa sababu za kisiasa. Akiwa kiongozi aliyeapa kulinda usalama wa taifa, amekemea vikali vitendo vya wapinzani hao na kuonesha kuwa serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na utulivu vinadumu nchini.

Falsafa ya 4Rs ilikuja kama mwongozo wa kisiasa uliolenga kuleta maridhiano na maelewano kati ya serikali na wapinzani ili kujenga taifa lenye mshikamano. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa baadhi ya wapinzani wameamua kuitumia falsafa hii kwa njia isiyo sahihi. Badala ya kutumia nafasi ya majadiliano na mapatano kujenga taifa, wameamua kupenyeza ajenda zao za kisiasa zinazotishia kuvuruga amani na usalama wa nchi. Wapinzani hao wanatuhumiwa kutumia kisingizio cha matukio ya utekaji nyara na mauaji, wakijaribu kuilazimisha jamii kuamini kwamba vyombo vya dola, hasa jeshi la polisi, vinahusika au vinakosa dhamira ya kushughulikia uhalifu huu. Matamshi haya, yasiyo na msingi wa ushahidi thabiti, yanachochea hofu kwa wananchi na kujaribu kuvunja uhusiano kati ya serikali na raia wake.

Rais Samia, akiongea kwa uthabiti, amesema kwamba siasa za aina hii ni za hatari na zinastahili kukemewa vikali. Alisisitiza kuwa falasafa ya 4Rs haipo kwa ajili ya kueneza chuki na mgawanyiko, bali ni jukwaa la kujenga mshikamano na maendeleo ya taifa letu. Katika hotuba yake, Rais Samia ame simama kidete kulinda heshima na utendaji wa jeshi la polisi, akibainisha kwamba jeshi hilo ni nguzo muhimu katika kudumisha amani na usalama wa nchi. Anafahanu kwamba jeshi la polisi limekuwa likifanya kazi katika mazingira magumu, mara nyingi wakihatarisha maisha yao ili kuhakikisha wananchi wanalala salama. Amesikitika kuona wanasiasa “Malipyoto” wakitumia matukio machache yaliyofanywa na wahalifu wachache kama kisingizio cha kuchafua taswira ya taasisi nzima. Hata hivyo, Rais Samia alikuwa na ujumbe mzito kwa maafisa wa polisi wanaokwenda kinyume na maadili ya kazi yao. Alikemea vikali vitendo vya ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu vinavyofanywa na baadhi ya maafisa wachache wa polisi. Hii inaonesha kuwa licha ya kuunga mkono taasisi za dola, Rais Samia hawezi kufumbia macho vitendo vya uonevu au ukiukwaji wa maadili ya kazi ya polisi. Aliahidi kwamba serikali yake itaendelea kusimamia mabadiliko ndani ya jeshi la polisi na taasisi nyinginezo, kuhakikisha kuwa watumishi wa umma wanazingatia viwango vya juu vya uadilifu na uwajibikaji.

Suala la utekaji na mauaji limekuwa gumzo nchini, huku likiwatia hofu wananchi walio wengi. Rais Samia alionesha kuwa anajali sana maisha na usalama wa wananchi wake kwa kulaani vikali vitendo hivyo vya utekaji nyara na mauaji. Aliwahakikishia Watanzania kuwa serikali yake inafanya kila linalowezekana kufuatilia kwa kina matukio haya, kuhakikisha kwamba waliohusika wanakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Kwa Rais Samia, utekaji na mauaji si mambo ya kufumbia macho, na hakuna atakayesalimika kwa kufanya vitendo hivyo.

Wananchi tunatakiwa kuendelea kushirikiana na vyombo vya dola kwa kutoa taarifa zinazoweza kusaidia katika uchunguzi wa matukio haya ili kutokomeza uhalifu huo nchini.Ni muhimu pia kukumbushana kuwa si sahihi kutumia matukio haya kama kete ya kisiasa.

Watu niliokaa nao wakati rais Samia akihutubia na wote walikuwa wapinzani kutokea chama cha CHADEMA, walisema daaaah, Rais Samia ametuweza, huku wakibwaga machozi.
 
qmmayo
 
Hamna kitu andiko jeupe limejaa UCHAWA hamna objectivity yoyote ile!!
 
Ndiyo raha ya kuishi kwa hisani ya Chama
Nakutakia siku njema
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Back
Top Bottom