CHADEMA Kuweni makini na Mtwara

mbona cdm ikifutwa kwa sababu yoyote ile vurugu ya mtwara itakuwa cha mtoto, naifikiria tu. wakijaribu nitathibitisha kuwa ccm, mahakama wote wamerukwa akili
 
Kufuta CHADEMA au hata kufuta vyama vyote hakitasababisha wananchi kuacha kupigania mabadiliko. Tatizo kubwa watawala wetu hawataki kwenda na wakati. Hawataki kuangalia wanavyofanya wenzao wa mataifa mengine na jinsi ya kutatua migogoro hii. Jambo muhimu hapa ni kupeleka madaraka kwa wananchi zaidi.
 
Mawazo yasiyo na ukweli wala utafiti hamna haja ya kuyasema
 
mbona cdm ikifutwa kwa sababu yoyote ile vurugu ya mtwara itakuwa cha mtoto, naifikiria tu. wakijaribu nitathibitisha kuwa ccm, mahakama wote wamerukwa akili
Mitazamo mingine sijui walengwa huitoa wapi.
 
Mkuu Lukolo hilo za propaganda za kuihusisha CDM na matukio ya Mtwara lazima zifanywe tena kwa nguvu zote ila ukweli unabaki pale pale kwamba wana Mtwara na Watanzania wote wana haki ya kuhakikisha gesi ya Mtwara inakuwa na maslahi kwa wao na Watanzania wote baada ya kuona yale yaliyojiri katika mikataba ya uchimbaji wa dhahabu. Mimi naamini kabisa propaganda hizi kama zilivyoshindwa zile za CDM kuhusishwa na udini na ukabila nazo zitashindwa.


 
Umeeleweka kabisa na jinsi wanavyowatafuta hata kwasababu za vichochoroni.
 
Kwa vipi si munasema chadema haina nguvu kusini acha hizo bwana mbona munadharau kabisa wananchi mpaka siku muje mukute ikulu imeingiliwa Kikwete anacharazwa vibao kama wananchi walivyofanya kwa raisi wao ndio mutajua wananchi wanaona,wanasikia na wanaamua
 
ngoma ya mtwara haina uchama, ile ni ya umoja wa wana mtwara wenyewe; Hasira hizi zinatokana na lile soo la korosho sasa ukiunganisha na hili la gesi basi wakaamuwa liwalo na liwe.
 
uwiiiiiiiiiiiiii hamna kitu kama icho duniani matusi ya prof muongo ndio matokeo yake
 
Hii Comment ya WABHEJASANA inanitia mashaka huenda kuna mtu kaiba password yake
 
Last edited by a moderator:
Wanaume na vijana wa kiume wanatolewa majumbani na kupelekwa central kutoa maelezo.
Hapa naweza kubashiri baadhi ya maswali:
1. Jina, umri, kazi yako, dini yako, kabila yako, unakotoka
2. Eleza ulishawishiwa na chama gani kufanya fujo (kibano kidogo - taja tu kama ni CDM tunakuachia vinginevyo sahau kurudi uraiani) Jibu (kwa hofu): Ndiyo ni CDM
3. Walikuahidi nini? Mlikuwa wangapi?
4....

Hapo ushahidi tayari......Tendwa kazi laini
 

Lau kama viongozi wako wakuu wangekuwa na busara kama za kwako, chama kingekuwa mbali sana.
 

.
Mahakama zetu japo zina uozo lakini hata hivyo sii kwa kiwango cha uenda wazimu wa ccm. Mahakama sii robot lisilo akili ama kichwa cha mwendawazimu cha kufanyiwa majaribio na sisiem. Ref. Case ya kupikwakwa ya Rwekatare.
.
 
serikali hata siku moja haikurupuki ..kumbuka dr nchimbi ni waziri wa mambo ya ndani hivyo atakua na detail za kutosha .CHDEMA MBONA MNATAKA KUTUALIBIA NCHI.
 
serikali hata siku moja haikurupuki ..kumbuka dr nchimbi ni waziri wa mambo ya ndani hivyo atakua na detail za kutosha .CHDEMA MBONA MNATAKA KUTUALIBIA NCHI.
Hapo kwenye bold ni ushahidi mmojawapo kwamba CCM mtafanya kila hila kuibambika CHADEMA matatizo yanayoendelea huko Mtwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…