kwa vyovyote vitatafutwa vielelezo hata vya kutengeneza ili kufanikisha hilo. Maana mbele ya CCM kwa sasa adui yake mkubwa ni CHADEMA. Kuna watu wameshare tu na mimi kama sehemu ya hofu yao. So si vema kupuuza. Cha msingi ni kuwa waangalifu tu na kauli zetu. Maana zinaweza kutumika kama ushahidi.Sasa mkuu Mahakama itaamua bila facts? Kwaiyo wananchi wakidai haki yao basi lawama Chadema? Hoja hiyo haina mashiko kaka
Pamoja ya kwamba mimi siungi mkono kile kinachofanywa na wana Mtwara, lakini naamini chama changu CHADEMA kipo upande wa wananchi siku zote.Ni angalizo tu!
Kwa watoto wa Mungu hakunaga shida lazima washindeChadema ipo katika wakati mgumu sana,
1. Inatakiwa izishinde hila za Polisi na Usalama wa Taifa.
2. Inatakiwa izishinde hila Spika wa Bunge.
3. Izishinde Hila za baadhi ya mahakimu.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
1692. Izishinde hila za Msajiri wa vyama vya Siasa
Huu ndiyo ukweli Mvaa Tai, japo watu wengi wanaweza wasielewe na wakaniona kama nawatisha.Chadema ipo katika wakati mgumu sana,
1. Inatakiwa izishinde hila za Polisi na Usalama wa Taifa.
2. Inatakiwa izishinde hila Spika wa Bunge.
3. Izishinde Hila za baadhi ya mahakimu.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
1692. Izishinde hila za Msajiri wa vyama vya Siasa
Maandamano na vurugu zinazoendelea Mtwara zimetafsiriwa na baadhi ya viongozi wa serikali kama ni uhaini.
Na baadhi ya watu wamenidokeza kwamba kauli ya Mheshimiwa Nchimbi bungeni kwamba kuna baadhi ya vyama vya upinzani vipo nyuma ya vurugu hizi, ina madhumuni maalumu.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba viongozi wa CCM wakayahusisha machafuko haya na CHADEMA, na kuitaka mahakama iamuru CHADEMA ifutwe kutokana na jaribio la uhaini.
Pamoja ya kwamba mimi siungi mkono kile kinachofanywa na wana Mtwara, lakini naamini chama changu CHADEMA kipo upande wa wananchi siku zote. Hata hivyo napendekeza kwamba kauli za kuunga mkono harakati za wana Mtwara, zitolewe kwa umakini mkubwa sana.
Ni angalizo tu!
Hivi vyama vingine hata vingeshiriki tena kwa kubeba na bendera waziwazi hakuna atakayesema. Lakini ikiwa ni CHADEMA tu hilo ni tatizo kubwa. Ni sawa na tunapokaa kujadili Simba na Yanga. Hata kama simba itafungwa magoli kumi na timu ya Lipuli, hakuna atakayesema. Lakini ikifungwa goli moja na Yanga, linakuwa ni gumzo la mji. So is CHADEMA na CCM.Hii haina kumungunya ipo wazi CDM, CUF, NCCR na vyama vingi tu vya upinzani na pia Baadhi wa wanachama wenye akili wa CCM Wana waunga mkono Wananchi wakusini.
Bila kusahau Namimi NAWAUNGA MKONO.
Na haki ya MUNGU GESI/MAFUTA hayatoki bila kueleweka wananchi wa kusini watafaidika vipi.
hawana Ubavu wa kukifuta chama DUME.....CHADEMA ndio chama cha ukombozi kwa waTZ
Mkuu BAK, yaani ukweli upo wazi kabisa kwamba CHADEMA haina mkono kule. Lakini tayari tangu jana vikosi vya Lumumba vimeanza kutoa kauli za kwamba CHADEMA walisema nchi haitatawalika. Na wanalishikia kidedea hilo. Ndiyo maana napendekeza umakini mkubwa sana. Maana kauli yoyote itakayoonekana ina utata tu, itatumiwa kama silaha ya kuimalizia CDM kwa kuunganisha na hoja ya nchi kutotawalika.Mkuu Lukolo CDM haihusiki na yaliyotokea Mtwara lakini ukumbuke kwamba kuelekea 2015 kuna juhudi za nguvu sana kuonyesha CDM kwamba ni chama cha wahuni ambacho kinataka kuleta fujo nchini jambo ambalo halina ukweli wowote. Hata ile kesi ya kubambika kwa Lwakatare ni katika kutimiza lengo hilo, ila kwa Watanzania walio makini wataujua tu ukweli halisi wa nini kinachoendelea.