kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,221
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo
Kazi si mmewapa watoto na vimada wenu akina VK na wengine, sisi wengine tutabaki majobless, lakini lazima kieleweke.