Chadema kuwaliza ccm na serikali yake

Chadema kuwaliza ccm na serikali yake

Waporini

Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
24
Reaction score
2
Ccm na SERIKALI yake imeanza kulalama Kila kona badala ya kushughulika na maswala ya MSINGI ya nchi, wabunge badala waendelee kuchakachua Rasimu ya katiba, maneno ya m/kiti Mbowe kupitia mkutano mkuu yamewabadiliSha mawazo.
 
Bavicha wote mnamapepo kabisa nendeni mkaandamane muone twawasubiri sana tuwapasue vichwa.
 
Bungeni walikuwa kimwili tu mkuu lakini kiroho na kiakili walikuwa Chadema, niliambiwa karibu wote walikuwa kwenye TV kuangalia nn kinachoendelea kwenye mkutano wa Chadema. Dodoma pale pana wahuni watupu kasoro Kessy ameshaanza kujitambua. Nasikia wanachezea pesa zetu upatu...yaani aibu.
 
Ccm na SERIKALI yake imeanza kulalama Kila kona badala ya kushughulika na maswala ya MSINGI ya nchi, wabunge badala waendelee kuchakachua Rasimu ya katiba, maneno ya m/kiti Mbowe kupitia mkutano mkuu yamewabadiliSha mawazo.

Umeandika nini hiki? Una IQ duni Kama ya mwenyekiti wako
 
Ccm na SERIKALI yake imeanza kulalama Kila kona badala ya kushughulika na maswala ya MSINGI ya nchi, wabunge badala waendelee kuchakachua Rasimu ya katiba, maneno ya m/kiti Mbowe kupitia mkutano mkuu yamewabadiliSha mawazo.
chadema ndio mkombozi wa wanyoge kitaeleweka 2015
 
Chadema lakuvunda ishavunda kitambo sana zimebakia kelele tu.
 
Kikwete anakimbilia nchi za watu kuanzia kesho, anawakimbia UKAWA maana kama kawaida huwa anawajua kuwa wana hoja mzto ambazo hakuna wa kuzpinga
 
Ni vizuri tukajadili agenda iliyoko mbele yetu, habari ya IQ hapa yamekujaje nakuomba ujikite Kwenye mada kwani utakuwa umejijenga kimtazamo na ktk mijadala utakuwa unauwezo mzuri.
 
Lusungo nakuomba uwe na uvumilivu wa kisiasa, hasa mjadala Kama huu unapoletwa humu, kwani hukuwaona wabunge wanajadili hotuba ya MHE:Mbowe na hili Hali yeye akuhutubia BUnge hiyo haikutosha MHE:Wasira baada ya kutoka bungeni akaenda Mwanza Kwenye mkutano wa ccm na kutoa malalamiko yake hayo yote haujayaona?
 
Simiyu mwaka huu utaehuka kwa kuitetea Ccm sawa na kumwamsha maiti wakati ameshakufa,Kila Uzi bila kujali muda upo,sijui unalala saa ngapi,unakulaje na keyboard mkonono.Au ndio ajira yako unalipwa Kila post?
 
Bungeni walikuwa kimwili tu mkuu lakini kiroho na kiakili walikuwa Chadema, niliambiwa karibu wote walikuwa kwenye TV kuangalia nn kinachoendelea kwenye mkutano wa Chadema. Dodoma pale pana wahuni watupu kasoro Kessy ameshaanza kujitambua. Nasikia wanachezea pesa zetu upatu...yaani aibu.
yahani mbowe alikohowa mara moja tu kesho yake serekali na taasisi zake wakaanza kupiga chafya!
 
Kuna mjumbe mmoja wakati anachangia kuhusu rasimu ya katiba alithibitisha kuwa walikuwa wamekaa Kwenye TV wakimsikiliza mheshimiwa MBOWE, kwa hiyo hawa watetezi wa ccm wawe wanakwenda kwa ushahidi sio Kuandika mambo ambayo wanafilia vichwani mwao. Na ukitaka kuijua siasa vizuri soma vitabu sana au usikilize vyombo vya habari.
 
Bungeni walikuwa kimwili tu mkuu lakini kiroho na kiakili walikuwa Chadema, niliambiwa karibu wote walikuwa kwenye TV kuangalia nn kinachoendelea kwenye mkutano wa Chadema. Dodoma pale pana wahuni watupu kasoro Kessy ameshaanza kujitambua. Nasikia wanachezea pesa zetu upatu...yaani aibu.
N walaaaniwe wote walao mali za masikini na wajane.Sita Sita umejionyesha ulivyo kama kweli ulipigwa viboko na Nyererre ulipokwa mwanafunzi naona hukujifunza sasa utapigwa viboko na watanzania wote.Sikio la kufa halisikii dawa, endeleza kiburi chako kama farao.Na waruhusu waendelee kuongea uppuuzi tena na tena.
 
Back
Top Bottom