johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Mbona kila siku wanakijani wanaandamana maeneo mbalimbali,hata mei mosi na wajuba tumekula jiwe tu🤣Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
NDIO KAZI YA CHAMA CHA UPINZANI HATA TANU ILIFANYA HIVYO HIVYO NA MWISHO WA SIKU ILIFANIKIWA NA SIKU CCM KIKIWA CHAMA CHA UPINZANI KITAFANYA HIVYOKama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala [emoji23]
☘️/🐆CHADEMA = Nnyaa!
Hizo ni jogging wanatakiwa waende cocacola wakaombe udhamini!Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Wapumbavu Sana hawa jamaaKama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala [emoji23]
KAMA CCM KIIVYO CHAMA WA MAFISADI, WAUAJI WAKOLA, WAIBA KURA, WATEKAJI,Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Sasa tutatia time uvccm na udhamini wa nguvu unapatikana,sii tu wa nguvu,ila wakishindo😅Hizo ni jogging wanatakiwa waende cocacola wakaombe udhamini!
Kazi mnayo!Sasa tutatia time uvccm na udhamini wa nguvu unapatikana,sii tu wa nguvu,ila wakishindo😅
Hao Machadema ni ma looser Bora wameanza mapema Ili jamii iwaone walivyo mbumbumbu.Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
KadaKama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa
Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa
Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Hizi sio zama za mkoloniNDIO KAZI YA CHAMA CHA UPINZANI HATA TANU ILIFANYA HIVYO HIVYO NA MWISHO WA SIKU ILIFANIKIWA NA SIKU CCM KIKIWA CHAMA CHA UPINZANI KITAFANYA HIVYO
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Yule Katibu alisema Chadema na nyie wafuasi wa Jiwe mumeacha kutumia vichwa sasa mnatumia kwato na miguu kufikiria 🤪🤪Kada
Punguza panic. maandamano hayapindui nchi