Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
wametamani chai ya ikulu tena.Chadema sasa mnataka kutoa msimamo gani tena wakati juzi mmekutana na rais ikulu mkanywa chai pamoja mkampa mapendekezo yenu!
Umesahau kupigwa virungumIE NAONA KIZUNGUZUNGU TU
WATU WATOKE, WARUDI, WAKANYWE CHAI NA MTUHUMIWA, WARUDI WATOE TAMKO, TUINGIE MITAANI, TURUDI, TUFANYE MIHADHARA, TURUDI
Hii gharama ya uhuru kamili kubwa sana kwangu kisaikolojia
Pole sana kwa kulewa ushabiki...laiti ungejua una support sheria iliyopitishwa na serikali ileile mnayoipinga mfumo wake kwenye 'vijiiwe' vyenu , usingeshabikia hiki kitu kama zuzu vile...!Msimamo gani nao hawa, walikuwa wanachekelea huku wakiweka signature sasa ndio wanataka kuleta stori. CDM kwisha kazi yake. Huyo ndio Kikwete kama mlikuwa hamumjui.
mIE NAONA KIZUNGUZUNGU TU
WATU WATOKE, WARUDI, WAKANYWE CHAI NA MTUHUMIWA, WARUDI WATOE TAMKO, TUINGIE MITAANI, TURUDI, TUFANYE MIHADHARA, TURUDI
Hii gharama ya uhuru kamili kubwa sana kwangu kisaikolojia
Kikwete alisema yuko tayari kuwasikiliza wote hata nyie wa kijiweni.Pole sana kwa kulewa ushabiki...laiti ungejua una support sheria iliyopitishwa na serikali ileile mnayoipinga mfumo wake kwenye 'vijiiwe' vyenu , usingeshabikia hiki kitu kama zuzu vile...!
You can say better than this hata ukitumia lugha ya ki staarabu utaeleweka.Hakuna ushauri ambao CDM huwa wanauchukua toka kwa wanachama wake...in other words CDM haina tofauti na Kikwete wa CCM!! kila kitu usanii.....ona sasa aibu hii!
swala la katiba lisiwe la chadema , CCM wanapata nguvu sana ya kuwadharau kwa sababu mko isolated!!!
kwa nini hamsikii paka nyie!!
hamna uamuzi wowote mgumu mtakaoweza wasaliti nyie...posho mnachukua kimya kimya.....traitors!!