kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), dkt. Willibrod slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa morogoro na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa operesheni sangara, kwenye uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege
mbunge wa singida mashariki, tundu lisu akizungumza na wananchi wa manispaa ya morogoro waliojitokeza katika mkutano huo.
makamu mwenyekiti chadema zanzibar said issa mohamed akifafanua jambo kwa wananchi hao.
aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la igunda kupitia chadema, joseph kashinde akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo
mwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro na mbunge wa viti maalum chadema suzan kiwanga akimwaga sera za chama hicho.
mkurugenzi wa habari na uenezi chadema na mbunge wa jimbo la ubungo jijini dar es salaam john mnyika akipanda jukwaani wakati akiwasili katika uwanja huo