Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Hata Mandela alikata tamaa kwa makaburu, ni suala la tafsiri tu. Lakini kwa maana yangu mapambano dhidi ya ufisadi yamekolea. Hata mbwa ukamfukuza, akafika ukingoni asione pa kutokea, hakika atakujeruhi. Kukata tamaa sio kujikunja na kulia yowe. Kwa mimi nikikata tamaa napigangumi za macho.Dr. Slaa akikusikia atasikitika. Ameshaandika humu (kunionya mimi hapo nyuma)kwamba kukata tamaa ni kosa kubwa kuliko makosa yote.
Najua tunaudhiwa sana na CCM, lakini tusikate tamaa. Tufuate mfano wa makamanda wetu wa kuwakaba CCM kotekote. Tukumbuke Regia Mtema alivyoasa kwamba watakaba ndani na nje ya Bunge.
m4c itaunguruma kata ya Kilakala, tutachagua viongozi wa kata
Watu wanaweza wasitokee wengi maana wanaogopa kupigwa risasi na bunduki ambayo haijasajiliwa.
Jana mpaka saa 7 usiku gari la matangazo lilikuwa likitangaza Mikutano ya Chadema ....Hakika hakuna kulala.
Ukiambiwa huo umati hawajapewa tshirts, nauli, ubwabwa wala khanga unaweza kubisha! What a colourful crowd! Inapendeza!