CHADEMA kususa ziara na vikao

CHADEMA kususa ziara na vikao

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho kwa kile wanachodai kushinikiza kuachiwa kwa madiwani na mbunge ambao wanashikiliwa na jeshi la polisi.

Akielezsea hatua hiyo Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob amesema kuwa hawaoni sababu ya kuendelea na vikao mbalimbali vya jiji wakati hawajui hatma ya wenzao ambao mpaka sasa wanashikiliwa na polisi na wengine wanaitwa kufika kituoni hapo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kusababisha fujo katika zoezi la uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam.

Kikao kikubwa cha kujadili mipango ya maendeleo ya jiji la Dar es Salaam kinatarajiwa kufanyika kesho ambapo mada kuu itakuwa ni ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
 
Hawa ccm ni wapuuzi tu na mh Magufuli umekaa kimya tukueleweje?
 
Watakuwa washalamba posho!...2020 sio mbali Dar haitachaguwa mateja.
 
CCM ni janga saizi wamekua wababe kupindukia
 
Ccm wanawajengea wana Dar hasira
Lema alipokuwa akiandamana kudai haki kuna watu walikuwa wanasema kuwa analeta fujo yanayotokea Dar ni kama Yale yaliyotokea arusha . Kinachotakiwa ni kufuta na kudelete Ccm kabisa 2020 . Ili chaguz za meya ziwe za amani
 
Ccm wanatumia vyombo vya ulinzi kuandamana
 
Naona kwa mara ya kwanza Rais wa awamu ya tano atakuwa madarakani kwa muhula mmoja tu.Naona kama vile January atakuwa mgombea wa kijani na Edo upande wa wananchi.
 
ccm inaelekea kukata roho , haya mnayoyaona ni kama mgonjwa kurusha miguu .
 
Back
Top Bottom