CHADEMA Kususa Mwenge na sherehe za miaka 50 ya UHURU ni KUKOSA UZALENDO


Wewe unaongelea uhuru wa nchi gani? Tanganyika ilikufa mwaka 1964. Ulishamwona nani anasheherekea birthday ya marehemu? Uhuru wetu tulishauuza kwa wazanzibar
 
Feedback,
Nakubaliana na wewe hapo juu na karibu kila kila comment zako huwa ni nzruri.
Ila nina swali footprint yako ( E L for ccm Chairman 2012) Matumaini yapo?

Tunasikitika sana siku zote CDM mnashabikia maandamano na kupinga wazo lolote linalotolewa na serikali yetu iliyochaguliwa na wananchi, KATIBA hamtaki kushiriki, na sherehe za Uhuru hamtaki???
Ama mmekasirika kutokana na msimamo wa serikali kukataa matakwa ya swahiba wenu CAMEROON? Poleni sie tupo busy na maandalizi ya sherehe, nyie mtaishie kutuangalia kwenye TV.


Kujitenga kwenu kunazidi kuwaweka mbali na wapiga kura TAFAKARI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…