Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Hii thread inanikumbusha ile timu iliyokuwa inashangilia mitaani kwa sauti kubwa. Watu wakauliza "aisee leo mmeshinda ngapi", wale mashabiki wakajibu "leo TUMEFUNGWA TANO TU, tuko juu saaaaaaaaaana".
Highlander
Unajaza server kwa kuandika pumba nyingi; nenda mtaa wa Togo kahoji mapato na matumizi halafu tena jamvini uone kama hukuja na jicho moja; huo ufisadi uliopo Togo huoni? Mwenye kibanda anajemalizia ghorofa kutokana na pesa za pango anazopewa na mafisadi wenzake; Mohamedi Mtoi kuna asasi nyingi sana nitamtumia ili ajiunge nao kupigania maendeleo ya mtanzania
Chama
Gongo la mboto DSM
Chama mimi si mtu wa pwani kama wewe mkaaji wa gongo la mboto. Mashairi kama haya unayoleta hapa uwaga siyaelewi. Weka facts tuelewane. Nimekwambia mtaa wa Togo sijui uko wapi. Nambie sasa. Mtaa wa togo upo wapi?
Kuhusu server unayoilalamikia, akinikataza kuandika Maxence Mello nitamsikia. Wewe mdandiaji mwenzangu siwezi kukutii hata siku moja. Mdandiaji unaanza kuweka hadi masharti ya kutumia server. Au ni hako kamsaada umempa Max kanakutia kuburi? Najaza server? Wewe nani kukataza watu kuchangia kuelimishana hapa. Ungetoa hela ya Tanzanite si ndo tungepelekwa segerea kabisa tukanyee ndoo?!
Usifikiri sijatambua kamsaada umetoa hapa. Nimekaona sana hako kamsaada kako uchwara. Ungekuwa umetoa Tanzanite pengine ningekuvutia pumzi kidogo. Gold halaf unaanza kukataza watu kuandika? my foot!! Ngoja nami nijikamuepo kidogo siku mbili tatu hizi nimtumie Maxence Mello ingalau elfu ishirini nipate hiyo gold unayojitapa nayo.
Haya nambie sasa. Mtaa wa Togo upo wapi? Na ni nani anakaa huko ambaye wewe chama una usongo naye hivyo?
Sasa mkuu kama hata mtaa Togo hukujui zile buku unachukulia wapi? muulize Mohamedi Mtoi atakufahamisha; sijakukataza kuandika nimeshauri tu punguza pumba server ya JF ni ndogo sana kuna wakati mods wanafanya kazi ya ziada tujaribu kuwapunguzia mzigo nao ni binadamu pia; ni wapi nimejinadi kutoa msaada? JF waliomba member wachangie sasa je kuna ubaya gani mtu kuchangia kama nia ipo? Hapa kwenye mchango sio uwezo ni nia tu kwani hata yule fisadi mkuu mtaa wa Togo ni member lakini si yeye wala hawara yake aliyechangia.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz; Mwita Maranya
ww ni mzigo hata kwa mkeo** tafuteni watu wa kuwakomboa Watz acha fikra mgando basi atakupitia chama chako
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.
Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.
Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.
Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.
Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.

Iwapo matokeo haya ni ya kweli ...huu ni ushindi mkubwa..kisomi
Samahani kidogo Molemo: naona Mods wameunganisha uzi wako na ule wa jana. Hivi taarifa za jana na hii ya kwako zinaongelea eneo lile lile? au ni maeneo mawili tofauti?
Haya ni matokeo kamili mkuu.
Ni eneo lilelile mkuu wangu.
haya ni matokeo kamili mkuu.
Mkuu Chama ee, nadhani nakuelewa vizuri sasa.
Huna haja ya kunijibu. Mjadala wa mahawara unaanzia wapi
kwenye hoja ya huu uzi? Mtaa wa Togo upo wapi?
Unaumwa wewe. Nenda pharmacy iliyo karibu nawe
waombe vidonge vinaita Lagactil. Usiku mwema!
View attachment 95354
Iwapo matokeo haya ni ya kweli ...huu ni ushindi mkubwa..kisomi
Kamanda hujui mtaa wa Togo upo wapi au mtaa wa ufipa?