Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Ndio maana ya ndoa ya mkeka. CDM chama kikubwa kishauriane na vyama vidogo vidogo viungane ili 2015 kiwe na nguvu ya kutosha!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.
Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.
Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.
Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Mbatia yupi? huyu mwenyekiti wa NCCR aliyepewa ubunge na mkuu wa kaya ili a deal na vitu kama hivi?Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Wale NCCR-Mageuzi Kigoma hawamtii Mbatia kwahiyo vyovyote vile wataungana na Chadema
Chadema yalivyo mabinafsi sijui kama yatakubali kuungana na wenzao.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.
Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.
Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.
Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.
Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.
Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.
Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Yote yatategemea utashi wa Zitto Zuberi Kabwe.Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.
Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.
Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.
Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Shangaa! labda tuwakumbushe msimamo wa Kafulila/NCCR wakati CDM inaunda serikali kivuli bungeni.Kuisaliti chadema???? Kwani kuna MoU kati ya Chadema na NCCR? Au neno kusaliti ni hisia tu?
Chadema yalivyo mabinafsi sijui kama yatakubali kuungana na wenzao.[/QUOT
Utakonda awamu huu na bado,Ngoja ukimbizwe mchakamchaka huu hadi u*** mfurulizo,Hahahahahahahaaaaaaaaaaa