CHADEMA kuongea na Wanahabari kesho Tarehe 16.06.2017 majira ya Saa 5 asubuhi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Kinatarajia Kuongea na Waandishi wa Habari Kesho Tarehe 16.06.2017.

CHADEMA ambayo ina matumaini makubwa ya Kushinda Uchaguzi wa mwaka 2020 imekua inaminiwa na Wananchi kwa Kiasi kikubwa.

Mungu ibariki CHADEMA
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Makamanda
Mungu ibariki press conference!
 
CHADEMA ambayo ina matumaini makubwa ya Kushinda Uchaguzi wa mwaka 2020 imekua inaminiwa na Wananchi kwa Kiasi kikubwa na Wananchi wengi.

Hata hivyo CHADEMA ilishinda chaguzi za mwaka 2005, 2010, 2015 lakini tunahisi tuliibiwa kura zetu.

Mungu ibariki CHADEMA Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki press conference!
Ahsante "kamanda" kwa taarifa hii.
 
Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Kinatarajia Kuongea na Waandishi wa Habari Kesho Tarehe 16.06.2017.

CHADEMA ambayo ina matumaini makubwa ya Kushinda Uchaguzi wa mwaka 2020 imekua inaminiwa na Wananchi kwa Kiasi kikubwa.

Mungu ibariki CHADEMA
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Makamanda
Mungu ibariki press conference!
Hahahaha kwikwikwi tetetetetetetetete
 
Si ajabu polisi washawekwa katika hali ya tahadhari na walio likizo wameitwa kurudi!!
 
CCM inakubalika zaidi miongoni mwa wazee, wenye kiwango cha chini cha elimu, masikini, wanawake na waishio vijijini [HASHTAG]#Utafiti[/HASHTAG] @Twaweza_NiSisi
Unachekelea huoni mtihani wa Darasa la 7 wanafanya wanafunzi 1,000,000 halafu waliopangiwa shule za form six za serikali 38,000 + Private schools wanaweza kufika 60,000 ndo Ujue wengi ni wapi so Unapendwa na Wachache na Siasa ni Watu

Huo Utafiti ni kama Kusema CHADEMA ikae pembeni tuu sasa chukua 1,000,000-60,000 CCM. Inabaki na Wanachama/Mashabiki 940,000.
 
Kilaza wa Ccm, Ziro brain kama Bashite.
 
Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Kinatarajia Kuongea na Waandishi wa Habari Kesho Tarehe 16.06.2017.

CHADEMA ambayo ina matumaini makubwa ya Kushinda Uchaguzi wa mwaka 2020 imekua inaminiwa na Wananchi kwa Kiasi kikubwa.

Mungu ibariki CHADEMA
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Makamanda
Mungu ibariki press conference!
Chadema hawaelewi washike wapi na wanapitia kipindi kigumu sana. Maana hadi saivi kuna chadema tatu nazo ni Chadema Asilia, Chadema Wakuja na Chadema Mfu. Kwa upande mwingine JPM anazidi kuchangia poromoko hilo maana anazidi kukaza hadi wanabaki wagumu kwa nje ila Mioyoni ni walaini
 
Back
Top Bottom