johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
- Thread starter
- #61
Hakika mkuu hata Petro original alimpokana Yesu aliambiwa " kutembea kwake" tu kunamtambulisha!Maelezo yake yanamtambulisha
Hakika mkuu hata Petro original alimpokana Yesu aliambiwa " kutembea kwake" tu kunamtambulisha!Maelezo yake yanamtambulisha
Na serikali siyo CCM, hapo uko sahihi!
Si kuna Prof Palamagamba Kabudi gwiji aliyeamrishwa kutumia sheria ya takwimu ya 2015 mkuu ?!Ukisoma katiba ya JMT utajua alipo!