Chadema kuna wanasheria wabobezi hivyo ni " chimbo" salama kwa watuhumiwa wa ufisadi!

Uko sahihi mkuu .ndio maana kama taifa tumepata hasara kubwa kutoka na umbumbu wa wanasheria wa chama tawala mikataba ya ovyo kwa minajili ya kijilimbikizia mali kwa rushwa .kila mwanasheria mbobezi wa serikali ya CCM ameshiriki kuangamiza taifa
 
Back
Top Bottom