Kwa hiyo mimi nanarudi kwenye msimamio ule ule, hakuna msafi ila tupime usafi wa mtuu, Aliyechafuta na taka za chakula, hawezi kuwa sawa na aliyechafuka na kinyesi
Hahaha, na wewe unaamini hayo, baada ya kusikia ile hadithi ya Gwajima, yaani sasa hivi hadi viongozi wa dini wanaingilia siasa, wanafanya mambo ovyo, wanawachanganya wananchi.Dr.Slaa alilisema mwenyewe,alienda kwa mshenga,baada ya kubaliana na mshenga wakamtafuta Mbowe.SIyo mimi nenda kamsikilize Dr.Slaa,kwa ulimi wake mwenyewe.
Wote wawili Magufuli na Lowassa wamechafuka na vinyesi,hakuna msafi hapo.Kama CCM wangemweka Jaji Ramadhani wala nisingegeuka nyuma ningempa Judge Ramadhani.
Ni kama vile ninavyoaamini kama Dr.Slaa angekuwa na Mkewe wa kwanza Rose Kamili leo tusingeongelea suala la yeye kuingia kwenye kumtafuta Lowassa mpaka kumtafuta mshenga.
Ninaamini katika usafi uliotukuka.Hapo kati ya hao wawili wote ni wachafu wa aina moja,tofauti yao ni muda waliochafuka.
Kama ulikuwa Waziri ndani ya cabinet ukakubali kuuza GAS bure kwa miaka saba kwa wachina leo kwanini nikuchague???Kwanini hukukataa ukiwa ndani unakuja kuropoka nje???
Nyumba za serikali je,Zile bilioni 262?Na meli ya mwaka 1970 unasemaje.
Hizi ni siasa, kwa hiyo wewe kama mwananchi yakupasa ukae pembeni kabisa, usiumize kichwa nazo. Utaongea sana lakini mwisho hutapata jibu, nakuambia, utaleta hoja makontena hata 100, lakini utaula wa chuya, hakuna wa maana hata mmoja, ila tu wapo baadhi ambao wana afadhali
Hahaha, na wewe unaamini hayo, baada ya kusikia ile hadithi ya Gwajima, yaani sasa hivi hadi viongozi wa dini wanaingilia siasa, wanafanya mambo ovyo, wanawachanganya wananchi.
Sijaelewa .Mimi nilimsikiliza Dr.Slaa na alieleza vyema hilo, kwa yeye kuhusika na Lowassa na Gwajima.Ninaamini ninacbokifikiria ndani ya akili na moyo wangu.
huna kitu waambie wenzio wa sm waache haya watanzania hawapaendi,wanachukua hatua sasawewe hautakuwa wa kwanza kuniona mimi ni mnafiki, lakini pia hautakuwa wa mwisho, wapo waliokutangulia na wapo watakaufuata baada yako.lakini hoja yangu itabaki imara na haitabadilika kuwa chadema kuna ombwe la uongozi..ni hoja ambayo nimeisema na kuisimamia tangu nikiwa chadema na nitaendelea kuisema na kuisimamia hata sasa..
Mimi sio katika wale ambao wanataka upinzani ufe kabisa, na wala sio katika wale wanaoamini kuwa salama ya ccm ni upinzani dhaifu..mimi naamini kuwa nguvu ya ccm, uimara wake na utendaji wake utakuwa bora zaidi kukiwepo upinzani madhubuti, ambao utawakumbusha ccm wanapojisahau..
Mimi ni mwanaccm, tena sio tu mwanachama bali ni mtumishi wa chama, naamini katika ccm lakini kama nilivyotangulia kusema kuwa siamini kuwa salama ya ccm ama ya tanzania ni kufa kwa upinzani...siamini hivyo.
AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!
Hapo juu Ben Saanane tafadhali tia neno.
Kama umeamua kujizungumzia wewe fanya hivyo kwa uhuru wako.Lakini hili la kuwaunga unga watu wengine wenye masilahi zao binafsi kwenye andishi zao na ambao bila uwapo wa Chadema hawana cha kuandika haipendeze na inakuanika jinsi gani ulivyo mtu kichwani.
Baki kuandika kinachokukera au ulichokisahau CDM.
Muache aandike na wewe kama una kinachokukera, andika tuu. Nasi tutachangia
hili taifa lina HASARA huyu dada eti naye atakuwa mbunge,wa bunge lijalo
Hivi kuna watu wanakuja hapa kuandika ----- kwa sababu tu kila mtu ana uhuru wa kuandika? hiyo ndiyo demokrasia gani tena?
Hii ndio demokrasia huru na ya haki hapa JF hakuna tofauti kama utaelewa maana ya demokrasia huru...Hivi kuna watu wanakuja hapa kuandika ----- kwa sababu tu kila mtu ana uhuru wa kuandika? hiyo ndiyo demokrasia gani tena?
All ccm leaders and members are useless and hopeless..their argments are always illogical
Kidume alikua Dr. Slaa hawa wengine wapiga deal tu. Afu wanataka wajtakatishe kwetu kuwa tuwaone wao ndo wanaijua sana demokrasia na wao ndo wana uchungu sana na hii nchi na wao ndo wanajua sana kuongoza. MtupisheLisu kama ana msimamo na habadiliki kwenye kauli zake ,basi airudishe ile list of shame kwenye tovuti ya Chadema.
Mnafiki mkubwa