Unayajua majukumu ya mbunge? Na kama kipimo chako ndio hicho nenda morogoro mjini ukawaambie wasimchague tena Abood maana mji wao umedorora kwa miaka (nimekupa mf m1 ipo zaid ya 100)
Nyie mnaosema Lema hafai mnajidanganya ..hamna hoja za msingi semeni ahadi ambazo hazijatimizwa ni zipi? Co Maneno dry ..Lema ndo chaguo letu wana Arusha.
Mkuu labda arusha ya kuzimu kwenu huko(magambani), Lkn sio hii Arusha ninayoijua mimi ya kaskazini mwa Tz.Njoo uzungumze utumbo huu Arusha mjini kama kuna rangi utaacha kuiona.