CHADEMA kumsafisha Lowassa!

kauli mali

Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
11
Reaction score
7
Kuna habari zimeanza kuzagaa kuwa CHADEMA wanapaswa kumsafisha Lowassa kupitia chama chao ili aweze kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA kupitia CHADEMA.

My take: CHADEMA tegemeeni chama kuondoka mikononi mwenu mana Lowassa anakuja na timu yake na hela yake hapo ni njia ya kutimiza malengo yake yeye na mtandao wake. So tegemeeni CHADEMA kutumika kama condom kama Shibuda alivyo kitumia
haiwezekani kuna watu wamekijenga chama muda mrefu mpaka mabomu wamepigwa Leo kuelekea uchaguzi eti watu wanahamia hayo mambo mtatuboa wapenzi Wa CHADEMA.
 
kuna watoto wamekipigania chama hapa Leo unambiwa kaa pembeni agombee mwingne kisa kuelekea u chaguzi mkuu ili tushinde sasa kumbe makelele tunayopga tunajidanganya tuuu hata makinda akija tutaimba pipoooooz wakati ccm wana tuua kina lowasa walikuwepo na wengne walitoa hela kutugawa wapinzani Leo ndio icon ya ushindi kwel pesa inanunua vhochote.
karibuni kina Chenge na mafisad wengne Wa Ccm huku chadema
 
Chadema itashirikiana na mtu yeyote aliyetayari kuiangusha ccm hata kama ni shetani chadema tutampa sapoti ilimradi tuteketeze maccm.

kwa fisadi akiwa Ccm akiwa chadema Kamanda duh chama changu lakin mkumbuke mpaka Ku fika hapa mpaka chadema inajulikana kuna watu wameumia na kutukanwa
 
lowasa akipitishwa kugombea Chadema,narudisha kadi,siwezi Kuwa mnafiki ,tumkatae akiwa upande wao akija kwetu tumkubalie,haiwezekaniii.

Laiti na Mungu huyu anayeumba, kusamehe na kuhukumu angekuwa kama hivi ufikiriavyo, sijui ni nani angepona!
 
mtuache na chama chetu jmn...muuzeni mtu wenu....hamuoni ni ushindi kwenu lowassa akija cdm!?huna haja ya kutukumbusha tumetoka wapi..tunajijua vizuri tu jombaaa
 
Ukawa wakishinda chini ya Lowassa, siyo CHADEMA tena hiyo. Watanzania tutegemee kuendelea kuibiwa.
 
kwa fisadi akiwa Ccm akiwa chadema Kamanda duh chama changu lakin mkumbuke mpaka Ku fika hapa mpaka chadema inajulikana kuna watu wameumia na kutukanwa

CCM wanawasikilizia tu wamasubiri aende Chadema waanze kufyatua Makombora.
 
lowasa akipitishwa kugombea Chadema,narudisha kadi,siwezi Kuwa mnafiki ,tumkatae akiwa upande wao akija kwetu tumkubalie,haiwezekaniii.

Siasa za Africa nzivyo zilivyo kwa kuwa lengo kwanza ni kukiondoa chama kilichopo madarakani kwa njia yoyote ile.
 
lowasa akipitishwa kugombea Chadema,narudisha kadi,siwezi Kuwa mnafiki ,tumkatae akiwa upande wao akija kwetu tumkubalie,haiwezekaniii.

Wewe ni Gamba pure hiyo kadi ya CCM uliyo nayo utairudisha wapi??
 
lowasa akipitishwa kugombea Chadema,narudisha kadi,siwezi Kuwa mnafiki ,tumkatae akiwa upande wao akija kwetu tumkubalie,haiwezekaniii.

Mm sio kurudisha kady peke yake na nitaacha kabisa mapenzi na siasa na kura nitakuwa ninaenda kuharibu tu.
 
Ingekuwa hivyo waliopigania Uhuru wangekuwa watawala milele.
 
lowasa akipitishwa kugombea Chadema,narudisha kadi,siwezi Kuwa mnafiki ,tumkatae akiwa upande wao akija kwetu tumkubalie,haiwezekaniii.

Mtu akiwa mtenda maovu na akiamua kuwa mtu mwema au kuokoka hupokewa tu. Hata Yesu alikuja kwa wenye dhambi.
 
Siasa za Africa nzivyo zilivyo kwa kuwa lengo kwanza ni kukiondoa chama kilichopo madarakani kwa njia yoyote ile.
Unakiondoa chama tawala madakani kwa kutumia silaha ambayo chama kiliitumia kuwaumiza wananchi? Wananchi watakuwa na imani na wewe tena?
 
Hakika wakimsimamisha Lowasa CDM pia watakosa wanachama km CCM ilivokosa members.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…