William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Linganisha na utofautishe then utapata majibu yako kweupe tu.Hivi Mwigulu kaenda Marekani kufanya nini vile........??????. Na kwa nini asiende Arusha ambako CCM imelala dolo???????
Malecela, si wanasema adui muombee njaa? Kama CHADEMA haipo Kilosa si ndiyo raha ya CCM? au ndiyo ule utaratibu wenu ili siku iende lazima chochote unachoaandika neno CHADEMA litokee?
- Jamani swali nililouliza mbona ni dogo sana kwamba kwa nini Chadema hawapo hapa Kilosa? Sasa kama kweli hapa Kilosa tu hampo je mtaweza vipi kushika Dola kama mnavyodai bila kuwepo sehemu muhimu kama hizi? Mbona ni swali dogo sana I mean Mheshimiwa Mwigulu anatokea Chama Tawala so akienda USA ni kuendeleza tu mwendo wa kasi zaidi, ila Slaa kwenda DC Washington na huku Kilosa tu hampo kabisa inaleta maswali mengi sana kuliko majibu, au mnasemaje?
Le Mutuz
Hivi Mwigulu kaenda Marekani kufanya nini vile........??????. Na kwa nini asiende Arusha ambako CCM imelala dolo???????
- Jamani swali nililouliza mbona ni dogo sana kwamba kwa nini Chadema hawapo hapa Kilosa? Sasa kama kweli hapa Kilosa tu hampo je mtaweza vipi kushika Dola kama mnavyodai bila kuwepo sehemu muhimu kama hizi? Mbona ni swali dogo sana I mean Mheshimiwa Mwigulu anatokea Chama Tawala so akienda USA ni kuendeleza tu mwendo wa kasi zaidi, ila Slaa kwenda DC Washington na huku Kilosa tu hampo kabisa inaleta maswali mengi sana kuliko majibu, au mnasemaje?
Le Mutuz
CCM mbona haipo Pemba?Mmeshinda chaguzi yyt Pemba?
Lemutuz kwenye siasa tambua kuwa kila chama kina strong holds zake!
Shule za wazazi zipo hoi bin taaban, walimu wake hawajalipwa mishahara zaidi ya miezi minne halafu wewe LE MUTUZ na mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mnatumia mamilioni ya fedha kuzunguka uko SHAME ON YOU PEOPLE.
Unataka arudie zoezi hilo ili apate jibu unalotaka wewe?yeye ameshafanya utafiti na amekuja na jibu hili,ni juu yako sasa kujibu hoja ya msingi badala ya kurukaruka!Linganisha na utofautishe then utapata majibu yako kweupe tu.
Chadema ni chama cha kutafuta sifa siyo kuwatumikia watu siyo hapoa tu chadema hawapo sehemu nyingi sana.
- Mheshimiwa sana sometimes uwe unakubali kwamba Chadema mna mapungufu mengi tu na hili ni mojawapo wala halina mabiashano!!
Le Mutuz