CHADEMA kujitowa UKAWA

Mtoto wa kike umbea umekuzidi, wewe utakua una RAMBO maana umalaya umekuzidi
 
Unapunguza maumivu ya lichama lenu huko dodoma kwa kuichafua Chadema.Kubwa jinga wewe.
 
Aisiiii!,


Kama ni kutafutiza draw, mnahangaika.

Kulipwa mshahara ni kashfa?

Kama umeanguka, anguka tu lakini usilazimishe kila mtu aanguke eti kwa vile wewe umeanguka!

Jipange upya,
 
Baada ya kukatwa sasa umeamua kuja kutujazia ujinga wako huku enheeee. acha utoto wewe. na ninakwambia na bado sana maana mmeanza kula kule mlikoweka mboga.
 
sasa nyie ma ccm yenu yamewashinda mnataka kuharibu na huku ukawa tumejipanga na Mungu atatusimamia na kutulinda na wabaya Mungu ibariki UKAWA viva ukawa viva
 

hebu rejea kusoma ulichoandika!
 
Kijana kamalizeni yenu kwanza na wagombea wenu wanawake ndo uje huku.Dr Slaa anatosha
 
jitoeni hakuna Shida na mtapigwa tuuu hakuna namna na mtapigwa tuuuu mbele ya magufuli mtapigwa tuuu
 

Yatajitoa ma.ta.ko ya mkeo! Majitu yamekalia uchonganishi tu! Hata wakijitoa tunahamia kwa Magufuli, taabu iko wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…