CHADEMA kujitowa UKAWA

1-Hebu tudadavulie una maana gani huko kwenye kolezo.
2-Umesema Prof.Lipumba anauzika wapi?
La mwisho nakuomba ushindwe kutaka kuwachuuria UKAWA.
 
Hana lolote huyu mtoa mada inaonekana ni kibaraka wa ccm. Ukweli ni kwamba Prop Lipumba simpondi ila huwezi kumlinganisha na Dr.Slaa. Slaa jembe original
 
Huyu atakuwa timu lowasa..maana leo wamechanganyikiwa mno.
 
eLete yako iliopasi, Nakwambia UKAWA wamekataa " KUFUMBUWA NGE WAKAFUMBATA TANDU" KUIACHA CCM WAKAIKUMBATIA CHADEMA PUNDA YULE YULE TAFAUTI SOJI TU.

Imepasi ya kukatwa EL
 

Bibi yako ndo atajitoa shoga mkubwa wewe nenda kwa wenzako dodoma
 
Angalieni na thread za kupost, husisababishe watu wakutukane na JF ionekane ya wahuni
 
Benard Membe vs Dr Wilbroad Peter Slaa 2015 General Election. Membe anakazi kubwa mno ya kufanya. Dr. Slaa ni hatari kwa siasa za kileo. Lakini CCM ndo washika dola na wanaweza kupata nguvu ya ziada kutoka kwenye dola ukizingatia time huru haipo
 
eLete yako iliopasi, Nakwambia UKAWA wamekataa " KUFUMBUWA NGE WAKAFUMBATA TANDU" KUIACHA CCM WAKAIKUMBATIA CHADEMA PUNDA YULE YULE TAFAUTI SOJI TU.

Hizi form four za shule za kata ni matatizo kweli!!

Hata kuandika tu kwa ufasaha umeshindwa mazee, kujenga hoja na kuelewa mambo si ndio majanga kabisaaa, au?
 
huwezi, barana visiwani, chama kimoja.
 
Ukawa wasahau ikulu bila
1. Tume huru
2. Kupinga matokeo mahakamani
3
 
Unataka kubadilisha upepo wa lowassa tujadili upuuzi wako
 
Unatafuta wa kukufuta machozi ya dodoma,kazi mnayo mwaka huu,mtaisoma namba.MaCccccmm ,machozi ya dodoma ni mwanzo tu wa kujiandaa kisaikolojia,hakuna mwenye hati miliki na nchi hii.Ni ajabu sana kurithishana madaraka mithili ya ufalme,wtz hawako tayari.
 
Kwa kutumia akili ya kawaida tu, mtu anayeuzika kiurahisi ni yule aliyeweza kuongoza chama chake na kuweza kuwa na wabunge wengi, madiwani wengi na kuwa na wanachama wengi. Kwa huku Tanzania Bara UKAWA ina bebwa na CHADEMA. Hivyo CHADEMA ina stahili kupeperusha Bendera ya UKAWA si vinginevyo.

Lipumba akubali Dr. Slaa awaongoze yeye hawezi kukosa wadhifa mkubwa UKAWA wakiingia madarakani. Vinginevyo akikataa atakuwa kama Mamvi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…