CHADEMA kujitowa UKAWA


Hebu tupatie taarifa za hapo dodoma mmeshaacha kupigana? Lile begi la hela nani kaondoka nalo?
 
Kwa uandishi huu ibaonekana wewe mbeavkupindukia
 

Kuna ugonjwa unajulikana kama kansa ya mitandaoni, ndo uliokukuta turufudume, dawa ya kuponyesha ugonjwa huu ni kuingiliwa kinyume ndo utapona
 
Huu ujinga watakuwa wameandika Akina Mwampamba kwani nimewaona pale master pub na visimu vyao wakipost.
 
Ha, ha ha. Bavicha kwa ku panic. Sijui nani huwa anawaazima Kompyuta yake
 
Acha uzushi wewe!

 
wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri ... tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.
Kumbe kulipwa mshahara kama wa wabunge ni kashafa!? Kumbe Emmanuel Okwi naye ana kashfa ya kulipwa mshahara zaidi ya wabunge!
 

Naona mmemaliza "mahoka" yenu sasa mmerudi kwenye kujambajamba humu

Fore the past few weeks, hakuna tulichosikia toka kwa wagombea wa CCM zaidi ya lowassa, lowassa, fisadi, kesi, and other cr@ps

I think you should go and get a life
 
AMESHAKATWA naona team ya mamvi mmeshachangakiwa kabisa hizi habari ni za kupuuzwa
 
Mshakatana kwenye lichama lenu sasa unatuletea mikosi nyumba ya jirani.........
 
huyo aliyeleta mada mpuuzi tu aende akamuone mamvi dodoma amsaidie kumalizia kuwachagua wenzake kuingia tatu bora. huyo anaota mchana
 
Hizi ndio siasa za TZ na tutasikia na kuona mengi hadi uchaguzi huu uishe, mi yangu macho na masikio
 
Hapo ukawa jinatu watu bado wana umungumtu wao wa cdm wanataka waupeleke na ukawa ni uzezeta
 
hivi ni PR lipumba,au ni prof lipumba??
this shows how ulivyo pimbi wa shallow wa kutunga habari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…