PreGE2025 Chadema kujitoa kwenye uchaguzi ni pigo kubwa kwa wasanii

PreGE2025 Chadema kujitoa kwenye uchaguzi ni pigo kubwa kwa wasanii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge.


Mwaka huu itabidi wasanii watunge nyimbo za kuwachamba kina Dovutwa, Selasini na Rungwe.

Je CCM itatumia billions of shillings kuwalipa wasanii wakati uchaguzi tayari ni mwepesi kwao.

Chadema kujitoa hili ni pigo sana Kwa Kina Mwijaku,Zuchu, Diamond,baba levo n.k
 
Back
Top Bottom