CHADEMA kuitesa CCM jimbo la Manyovu

mwanzo wetu

JF-Expert Member
May 4, 2014
1,581
461
Chama cha Demokrasia CHADEMA, wamemuvuna kamanda wa ccm wilayani Buhigwe-kigoma kutoka ktk makamanda wa green gard ccm jelemia ambaye pia ametangaza nia ya udiwani kata ya Buhigwe.

Taarifa za ndani kutoka ccm wanaonekana kuogopa nguvu ya chadema, jimbo la manyovu linashikiliwa na albert ntibaliba A.K.a Obama ccm ambaye amepoteza muvuto kwa wananchi kwa kufanya madudu mengi na ccm kupanga kumusimika kada mwana mke Bi Abia aje apambane na nguvu ya uma ambayo haita mwacha salama

Hivyo kwa asilimia kubwa hofu imetanda kusubili kuangushwa na viongozi wa cdm imala na jembe mtarajiwa mr james wa cdm, Mungu bariki ukawa bariki Ukawa.By Emmanuel 0754532532
 
Back
Top Bottom