respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
vipi mikutano ya ukawa imeishia wapi?
kama jina lako lilivyo mbona ccm hawawaelezi zao? inakuja siku na ipo pale ambapo siyo polis wala kuchakachua hakuta wasaidia, ole wenu ma-ccm.Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.
kama jina lako lilivyo mbona ccm hawawaelezi zao? inakuja siku na ipo pale ambapo siyo polis wala kuchakachua hakuta wasaidia, ole wenu ma-ccm.
Hivi bajeti ya ziara ndefu ya kinana,Nape na wahuni wenzake mliipata wapi? ,Esrow 200 bil,backhome!dhambi ya ubaguzi inaitafuna chadema, sasa hivi baada ya kupata msaada wa milioni 700 wameanza kuwatenga washirika wao wa ukawa cuf na nccr
Mbona CDM ilishakufa, labda wakafanye Postmortem. R.I.P CDM Tulikupenda, ila Mungu amekupenda zaidi, Mwanga wa milele umuangazie eeh Bwana........ Apumzike kwa Amani.CHADEMA inaanza operesheni ya chopa kwa siku 2 katika maeneo mbalimbali ya majimbo yote ya Mkoa wa Pwani leo.
Operesheni hiyo itakayohusisha mikutano ya ndani na hadhara italenga ujenzi na kukagua uhai wa chama.
Itaongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chama, JJ Mnyika.
mbona kama wanaonekana wako bwi,,, au macho yangu ya uzee
Njoo kwenye kikao upate taarifa,kama unazitaka ilu ukawafundishe na ccm jutoa maelekezo kama chadema wafanyavyo kuiga si jambo baya,maana tangu uhuru mmeendelea kuiga toka ulaya,kwa nini sasa msiige ya chadema ambao wako karibu haihitaji nauliKwahiyo kama CCM hawawaelezi hata nyie hamana haja ya kufanya hivyo? come on!
vijana wako juu ya fuso ya chadema, huyo mwenye njano ameshika kiroba.
Udini tupu,2015, kitaeleweka, mama castico 2000 alipowapinga,mkamfukuza,Mr Bashe mlimsema sio raia,Mkuu wa mkoa wa zamani Generali Ulimwengu mlisema sio Raia ,ccm mlipobanwa na Salm Ahmed Salmu mkasema ni Mwarabu,mtu mliyempa hadi ukatibu wa OAU na kufanya kazi kwenye baraza la usalama wa UN lakini mlisema si raia!,Mbona CDM ilishakufa, labda wakafanye Postmortem. R.I.P CDM Tulikupenda, ila Mungu amekupenda zaidi, Mwanga wa milele umuangazie eeh Bwana........ Apumzike kwa Amani.
CHOPA Mkoa wa Pwani ,you can't be serious.Kwenda Mkuranga is a matter of minutes, kwenda kibaha is just a matter of minutes ,kwenda Ikwiriri ia a matter of an hour or so.Sasa CHOPAS mngeitumia wakati wa campaign Chalize.
Mwendo mdundo...leo na kesho tutaeleza jinsi CCM inavyozidi kudhihirisha ilivyo irrelevant tena kupitia ziara zao wanazofanya hivi sasa ambapo itakuwa sawa na kuwakaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Tutaonesha namna wanavyozidi kuwa irrelevant wakiendelea kufanana na Sangara wanavyokula samaki wadogo ziwani, kupitia bajeti za serikali yao mwaka huu.
Mambo mengi yatawekwa wazi namna CCM wanavyopinga mchakato wa Katiba Mpya kwa ajili ya kulinda ufisadi na mafisadi.
Itanichukua dahar kunifanya niwapigie Kura hawa........
Jamaa kiboko kweli huyu,naona kuna watu wana vibanda vya kudumu humu ndani imagine nimejoin hii forumn back in 2012 lakini sijaposts au kucomment kama huyu jamaa who is only 5months old!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Join Date : 6th January 2014
Posts : 1,153
Rep Power : 659
Likes Received480
Likes Given0
chadema inaanza operesheni ya chopa kwa siku 2 katika maeneo mbalimbali ya majimbo yote ya mkoa wa pwani leo.
Operesheni hiyo itakayohusisha mikutano ya ndani na hadhara italenga ujenzi na kukagua uhai wa chama.
Itaongozwa na mkurugenzi wa mawasiliano na uhusiano wa chama, jj mnyika.