CHADEMA kuiteka Pwani

Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.

rudi uchambe kwanza ndo uje hapa kwa wanaume! Pamoja daima,wapeni elimu ya ukombozi wananchi wa maeneo hayo kwani wapo nyuma sana kimaendeleo
 
Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.

wewe jamaa hivi unajua kwamba UMECHOKWA NA KILA MTU HUMU ? UNAULIZA MASWALI YA KIPUUZI SANA ! HIVI RUZUKU YA CCM UNAFAHAMU INAVYOTUMIKA ? NA UNAJUA NI KIASI GANI ? KAMA UNGEFAHAMU HILI USINGETHUBUTU KUPANDISHWA FUSO KUTOKA RUFIJI HADI CHALINZE !
 
Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the day

tangu tuanze mwaka huu , hii ndiyo POST DHAIFU kuliko zote .
 

asante SANA KAMANDA .
 
CDM ndilo tumaini jipya,tupo pamoja na ninyi na Mungu awatangulie huko Pwani.
 
siku mbil aitoshi kwa pwan hiyo mikoa ni special case pwani;lind ;mtwara;tabora;singda ;songea na dar yenyw
 
CDM mwaka wa shetani mpaka kipigo cha 2015, kama Jimbo la kalenga na Chalinze ilishindikana mwakan mtaangukia pua
 

vipi mikutano ya ukawa imeishia wapi?
 
dhambi ya ubaguzi inaitafuna chadema, sasa hivi baada ya kupata msaada wa milioni 700 wameanza kuwatenga washirika wao wa ukawa cuf na nccr
 
CDM mwaka wa shetani mpaka kipigo cha 2015, kama Jimbo la kalenga na Chalinze ilishindikana mwakan mtaangukia pua

ndugu yangu Jimy, na elimu yako yote ndo unazungumza mavi kiasi hiki!
 
Ratiba y

1.Mhoro-RUFIJI. 2.Bungu-KIBITI. 3.Kimanzichana
-MKURANGA. 4.Msimbu-KISARAWE. 5.Chanzige -KISARAWE.
Makene,
Chama kiwaonyeshe wananchi toka tupate uhuru:
1. Bajeti inatengwa lakini wilaya ya Utete bado kisiwa
2.wilaya toka 1961-2014 soko la wilaya liko km 80 ( ikwiriri), bajeti wakiramba tu wanaccm
3. Wanautete,nyamwage kibata,kitundu,hakuna barabara inayounganisha wilayani na ikwiriri
4. Waonyesheni ni miaka 53 toka tupate uhuru,wakaazi wa mafia,bado hakuna hata gati bora bali mitumbwi tu ,achilia barabara inayochepa kwenda kwenye kisiwa
Ccm ni zaidi uijuavyo,ccm ya bungeni ndio ccm ya nje,hakuna maji utete wakati mto Rufiki upo mgongoni mwa jengo lililoachwa na wakoloni hata kulipaka rangi na ukarabati tu hakuna,Nendeni nyumba za wafanyakazi wa utete,
Mbunge anamaisha safi,wananchi aibu,hakuna viwanja vya mpira,masoko,jamani ziara hii itupe matumaini,bigup chadema!!!!!!!
 
Ndicho unachokifuata JF kufuatilia wenzako?
 

CHOPA Mkoa wa Pwani ,you can't be serious.Kwenda Mkuranga is a matter of minutes, kwenda kibaha is just a matter of minutes ,kwenda Ikwiriri ia a matter of an hour or so.Sasa CHOPAS mngeitumia wakati wa campaign Chalize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…