ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,691
ukilala ukiamka cdm,ukinya ,ukikojoa,ukitapika ,ukijamba ukicheua CDM huna mambo mengine yakufanya mkuuu ????
Hata wakoloni walisema hvo angalia histoia ya S. Africa juzijuzi tu waliwakatisha watu tamaa na adhabu kwa kebihi nyingi ila leo tunaongea mengine kabsa.
Hivi wewe ni binadamu wa kawaida tu ulipata madhara ya ubongo, au ni kiumbe tu kingine?South Africa walikuwa wanapigania jambo la msingi sio tamaa za kimwili...