Chadema Kuingia Ikulu...

Chadema Kuingia Ikulu...

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,691
Kujiaminisha kuwa Chadema itaingia Ikulu ni sawa na huyu jamaa...

ikulu.jpg
 
ukilala ukiamka cdm,ukinya ,ukikojoa,ukitapika ,ukijamba ukicheua CDM huna mambo mengine yakufanya mkuuu ????
 
Huyu yuko kikazi zaidi, hajui analolifanya na hajuwi kama hajuwi...hata kama upu..mba..vu wake ukiutwanga na ngano hautomtoka. Acha ajlishe upepo, atagundua kuwa anayoyafanya ni batil.
 
ukilala ukiamka cdm,ukinya ,ukikojoa,ukitapika ,ukijamba ukicheua CDM huna mambo mengine yakufanya mkuuu ????

.....ha ha ha mkuu amini usiamini huyu ni kati ya watu wanaohitaji matibabu ya kisaikolojia huenda akawa kichaa kabisa au tayari mambo ipo KICHWANI.......KUNA KITU KILITOKEA KABLA YA KUTIMULIWA CHADEMA...

...tumsaidie kamanda mwenzetu...
 
Hata wakoloni walisema hvo angalia histoia ya S. Africa juzijuzi tu waliwakatisha watu tamaa na adhabu kwa kebihi nyingi ila leo tunaongea mengine kabsa.
 
Hata wakoloni walisema hvo angalia histoia ya S. Africa juzijuzi tu waliwakatisha watu tamaa na adhabu kwa kebihi nyingi ila leo tunaongea mengine kabsa.

South Africa walikuwa wanapigania jambo la msingi sio tamaa za kimwili...
 
Back
Top Bottom